Ile thread ya wakubwa ilienda wapi?

Binti Maria

Senior Member
Jun 26, 2007
158
33
Jamani ile thread ya watu wakubwa ilipelekwa wapi? Kila nikiitafuta siioni, sasa wengine tulishazoea kupitapita huko kuweka mambo sawa, sasa inakuwaje tena mmeitoa? Irudisheni tafadhali kabla hatujaandamana
 
Fafanua vizuri ya wakubwa kivp au zile za utupu?
Mwone Maria Roza au tuma PM kwa Invisible atakuunganisha na wewe uwe unaenjoy.
 
nyuzi za wakubwa zipo nyingi...ni upi huo unauzungumzia?
 
Jamani ile thread ya watu wakubwa ilipelekwa wapi? Kila nikiitafuta siioni, sasa wengine tulishazoea kupitapita huko kuweka mambo sawa, sasa inakuwaje tena mmeitoa? Irudisheni tafadhali kabla hatujaandamana
Nilidhani wewe ni binti yake Maria Roza vile? Si umuulize akupe direct line? Binti hufunzwa na mamaye vizuri zaidi kuliko na babaye ati.
 
Jamani ile thread ya watu wakubwa ilipelekwa wapi? Kila nikiitafuta siioni, sasa wengine tulishazoea kupitapita huko kuweka mambo sawa, sasa inakuwaje tena mmeitoa? Irudisheni tafadhali kabla hatujaandamana

??????????
icon5.gif
icon5.gif
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom