peoples power
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 475
- 100
Hayo huwaga ni maneno tu na huwa hayana nguvu kihivyo...
Acha utoto dogo.
Hayo huwaga ni maneno tu na huwa hayana nguvu kihivyo...
Acha utoto dogo.
Mimi sijaingia kwenye ndoa ila kuna hii kali ......Acha hiyo Eiyer, kali ni hii ambayo wengi naona huwa hawaitimizi kabisaaaa, piga ua tupa kwenye mitaro haiwezekaniki... "POKEA PETE HII IWE ISHARA YA UAMINIFU WANGU KWAKO" hapo hakuna uaminifu wala nini make wengi wanakiuka hiko kiapo tena wengine bila aibu wanakiuka huku pete ikiwa mkononi c bora wawe wanaivua tuuuuu!!!!!! ndoa kazi kweli kweliUnakumbuka siku ulipoulizwa; Ewe. . . .,unakubali kumpokea . . . . .,awe mumeo/mkeo,katika shida na raha,magonjwa na afya na utamhesimu siku zote za uhai wako mpaka kifo kiwatenganishe?Kisha ukajibu ndiyo!!!!Unaikumbuka kauli hii?Je ina nguvu kwako leo kama siku ile?Je unapokumbuka unajisikiaje?
leo....nitawajua wengi.....
naendelea kutazama........
Na wewe je?Uzoefu wako uko wapi?
Unamaanisha nini?