Ilani ya CCM: EPA, Rada, Escrow, Richmond n.k kutekelezwa na JPM

Kirchhoff

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,365
7,606
Nimekuwa nikifuatilia utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi kwa muda mrefu. Toka nimeijua siasa mwaka 1994, nimeshuhudia wagombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi wakiahidi kutekeleza Ilani ya chama chao.
Kumekuwapo na masuala mbalimbali ambayo nimeona yakitekelezwa na viongozi hao baada ya kupokea kijiti cha uongozi. Masuala hayo Kama nilivyoonyesha hapo yaani Rada, Nyumba za Serikali, Samaki, Eskrow n.k yameitwa kwa jina moja, UFISADI.
Nami najiuliza, Je Ilani ya CCM ambayo mgombea wao ameahidi kuitekeleza ni UFISADI?
 
Hongereni CCM.Nimejifunza kitu kikubwa sana kupitia mchakato mzima, CCM haina udini, ukabila wala ukanda.Hongereni sana.Watanzania halisi ndivyo wanavyotakiwa kuwa.Pamoja na kuvutana sana lakini mwisho wa siku mmepitisha mtu mmoja na umoja wenu ukaendelea.Hongera pia JK kwa kukuza Democrasia katika nchi yetu.
 
Back
Top Bottom