Ilani ipi kutekelezwa baada ya uchaguzi

Kabewa

Senior Member
Oct 30, 2009
136
56
Ni wazi kwamba baada ya kura ya ndio kushinda katika kura za maoni Zanzibar kutakuwa na serikali ya umoja wa kitaifa/serikali ya mseto baina ya chama kitakachoshinda na vyama vitakavyo shindwa je baada ya muungano huo ni ilani ipi ambayo itasimamiwa na kutekelezwa ? kwa kuwa iko wazikwamba wailioshinda na walioshidwa wataunda seri kali je kuna sababu ya kuandaa ilani ya pamoja ili mambo yaende sawa? katika utekelezaji. kwani mambo yatakua yaleyale kama ilani zitakuwa tofauti na itekelezwe moja na vyama tofauti nisaidieni hapa please
 
Back
Top Bottom