Ila wadada mnavofanya sio fair kabisa!

wanatupenda wenye miili mikubwa kwa sababu tunachoka haraka.
nyie wenye miili midogo mnakamia sana,mawachosha na kuwazeesha.

Sijajua kama alikua anamaanisha hili ulisemalo.

Hata na mimi handsome nitakataliwa kwa sababu ya mwili wangu mdogo au?

Mwenzako hilo haoni ni tatizo,tatizo ni mwili kuwa mkubwa.
Kitendo cha nyie kushoboka na wakaka wenye mamiili makubwa,ni kinyume na haki za binadamu na kinawafanya wale wenye miili midogo wawe infirior kwenu.nawaomba muonyeshe mapenz ya dhati kwa wakaka wote bila kujali umbo la mtu.over

Moja wa member wa jf anayeongoza kwa malalamiko jf nzima.
Hata invisible anajua hili na anakubalina na mimi.
 
Na mimi nilikuwa najiuliza hivyo hivyo; inawezekanaje mtu aka taste dozi wakati amesha ku dis kwa muonekano tu?
 
Kitendo cha nyie kushoboka na wakaka wenye mamiili makubwa,ni kinyume na haki za binadamu na kinawafanya wale wenye miili midogo wawe infirior kwenu.nawaomba muonyeshe mapenz ya dhati kwa wakaka wote bila kujali umbo la mtu.over

Senetor we andunje nin?
 
Yaani mmenikumbusha ile ishu ya Lulu na yule mheshimiwa! Lol
 
ila hii sredi zisipozuka ngumi leo, sijui tu.
Imekaa kichokozi sana, ila naipenda.
 
Hahahahaa pole! Ongeeni vizuri na wachina wawaletee dawa ya kuwafanya muwe na maumbo makubwa..
 
wenye miili mikubwa hawana naniliu kubwa ndo mana wanapendwa, unaweza ukakutana na kijamaa kinamwili mdogoila mshine kama kasusiwa ati, ila utakutana na mtu baunsa wa haja ila chini ana kibamia
 
hata mie vichenchede sivihusudu aisee... Wapishe tu wenye miili yao wajivinjari vina raha yake faragha na nje.

Mie kama mwanamke nina-fantasize nikimuona mwanaume mwenye mvuto mf. kifua maridadi (siyo wanaume wanaojiremba)...
 
Kitendo cha nyie kushoboka na wakaka wenye mamiili makubwa,ni kinyume na haki za binadamu na kinawafanya wale wenye miili midogo wawe infirior kwenu.nawaomba muonyeshe mapenz ya dhati kwa wakaka wote bila kujali umbo la mtu.over

ha ha ha.....pole sana....hali halisi ndio hiyo.....hujajazia.....tupa kule.....
 
Unajua ni rahisi sana kucorrolate mwili mkubwa na pesa nyingi? lakini takwim zinaonyesha watu wanaume wafupi wako safi sana.
 
mimi mwenyewe niliishatongozwa na wanawake zaidi ya 3 sababu kubwa wanapenda mwili wangu mkubwa hasa kifua kilivyojengeka na siyo kwamba watu wote wenye miili mikubwa wana vibamia km kuna m2 anabisha aje kwangu ahakikishe halafu aje awahadithie.
 
Back
Top Bottom