Ila wadada mnavofanya sio fair kabisa!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Kitendo cha nyie kushoboka na wakaka wenye mamiili makubwa,ni kinyume na haki za binadamu na kinawafanya wale wenye miili midogo wawe infirior kwenu.nawaomba muonyeshe mapenz ya dhati kwa wakaka wote bila kujali umbo la mtu.over
 
Kaka acha jazba ukubwa wa mwili siyo kupendwa bali ukubwa wa dozi unayotoa.kwa taarifa yako mademu wanamind kinoma mwanamme mwenye mwili ya kawaida coz dozi tunazo toa zimeshiba

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
nadhani wanaangalia a combination of factors na siyo ukubwa wa miili tu..
 
pole sana umeandika kwa uchungu kweli jamani mwee, au kuna uliyempenda akukataa sababu ya umbo lako?
 
Mkuki kwa Nguruwe eeenh! Mbona sie tunasifia sana akina dada wenye shepu nzuri, mguu mzuri, au ule ugonjwa wetu waafrika BIG BOOTY? so mkuu endelea kuvumilia tuu!!
 
Kitendo cha nyie kushoboka na wakaka wenye mamiili makubwa,ni kinyume na haki za binadamu na kinawafanya wale wenye miili midogo wawe infirior kwenu.nawaomba muonyeshe mapenz ya dhati kwa wakaka wote bila kujali umbo la mtu.over

Ha ha ha, umenichekesha sana! Sometimes bwana inabidi, we mdada kibonge alopanda hewani akiwa na mkaka mfupi na mwembamba si ndo mwanzo wa kuulizwa 'mdogo wako anaitwa nani' kumbe ni mpenzi wake, lol
 
Walimweusi umenigusa sana...Kama umeniona vileeee..! Sasa tatizo langu japokuwa Kibonge sipendi hao wenye miili mikubwa kama mimi...Nadhani nitakuja kuishia kuwa naulizwa hilo swali la mdogo wako anaitwa nani? Hahahaaaa...
 
Kaka acha jazba ukubwa wa mwili siyo kupendwa bali ukubwa wa dozi unayotoa.kwa taarifa yako mademu wanamind kinoma mwanamme mwenye mwili ya kawaida coz dozi tunazo toa zimeshiba

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

mkuu,sasa kama hata ukimtongoza anakukataa coz of your umbo,hiyo dozi utaitolea kwa nani?afu cha ajabu hata wadada wenye maumbo madogo nao wanashobokea hao wakaka wenye maumbo makubwa.
 
Walimweusi umenigusa sana...Kama umeniona vileeee..! Sasa tatizo langu japokuwa Kibonge sipendi hao wenye miili mikubwa kama mimi...Nadhani nitakuja kuishia kuwa naulizwa hilo swali la mdogo wako anaitwa nani? Hahahaaaa...
amazon hakikisha hata kama ana umbo dogo basi awe mrefu lol.
 
Last edited by a moderator:
mkuu,sasa kama hata ukimtongoza anakukataa coz of your umbo,hiyo dozi utaitolea kwa nani?afu cha ajabu hata wadada wenye maumbo madogo nao wanashobokea hao wakaka wenye maumbo makubwa.

Wanawake wanasema wakiwa na wanaume mwenye umbo kubwa they feel secured zaidi, teh teh sijui kama kweli
Note:Im not a woman please
 
Kitendo cha nyie kushoboka na wakaka wenye mamiili makubwa,ni kinyume na haki za binadamu na kinawafanya wale wenye miili midogo wawe infirior kwenu.nawaomba muonyeshe mapenz ya dhati kwa wakaka wote bila kujali umbo la mtu.over

Una miaka mingapi Senetor!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom