I'l miss you

Mungu akujaliaye kumbukumbu ya kukumbuka yale uliyoyasoma katika mitihani yako.
 
Wakuu,

Nachukua break kidogo kuchangia hapa.Mitihani yangu ya mwisho imenibana sana,Inanitoa Jasho.Nimejaribu kutenga muda kidogo wa kuchungulia humu ,Jukwaa la siasa,Uchumi,jukwaa la kimataifa nk. but naona shughuli inazidi kuwa nzito

Nikipata muda kama dakika 20 nitakua msomaji tu humu na kuchangia nitakapoweza.


Pamoja always!

Nitakumisi kweli yani! kwani hii mitihani itachukua muda gani?
 
nakutafutia kadi nzuri za best wishes wala sizipati sijui niushamba wa kompyuta nilionao..Ninazozipata hazinipi option a kucopy...FL1 okoa jahazi basi..
 
Ukimaliza matatizo yako, plz rudi kwa jaziba lakini isiwe kama ya JK na wazee wa D'Salaam
 
safi sana mkuu kamalize mitihani yako kila la kheri,nyie ndio viongozi wetu wa baadae tunategemea mtoke hapa si kwingine,muibadili hiyo nchi na plz ukimaliza usiwe fisadi utatudissapoint sana mkuu.
 
Wakuu wote! Salute sana

Nawashukuru sana,kwa kweli mlinipa moyo...mitihani inaendelea vizuri.Namaliza kesho.Leo nimepata muda wa kuchangia.

JF Friends are always the best.Nawashukuru sana kwa maombi yenu .Ilikua changamoto nzito,naomba Munugu aendelee kunipigania nimalizie vizuri kesho nimalize salama.Mungu awabariki sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom