bibikuku
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 832
- 495
Ninavyojua mimi ni kwamba walimu wa nchi hii hawana umoja na msimamo.
Nadhani walimu walikuwa na nguvu sana enzi za Peter Mashanga yule kiongozi wa walimu aliyeitwa Ikulu ya mwingi na kumgomea Rais Mwinyi kunywa chai wala Juisi enzi hizo