mwaliko huu ulikuwa ni wa Rais tena ulifanyika nyumbani kwake ikulu, yeye kuwepo ilikuwa ni bora sana. Halafu mara nyingi rais akiwa nje ya mkoa tunaambiwa kuwa ameenda wapi sasa safari gani hatukuambiwa au waandishi wa habari hawakuwepo? au mpaka iwe safari ya kutumbua majipu?.Hilo nalo mwaliona kuubwa! Mabalozi kiitifaki saizi yao ni huyu Waziri wetu wa Mambo ya Nje. Kumbukeni pia URAIS ni TAASISI kubwa zaidi ya Magufuli wetu pekee