Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,918
- 95,201
Wanataka kumuuliza taratibu za uchaguzi wa zanzibar maana kwa mujibu wa katiba yetu na taratibu uchaguzi ulishafanyanyika na kukamilika 25.10.2015Endelea kuamini kwamba "Tunawahitaji sana kuliko wao wanavyotuhitaji".
Mahusiano yanadumishwa na vitu vingi sana na sio hiyo "sherry party".
Nimeona pia sehemu wamemnukuu Prof Lipumba kuwa "mabalozi" wameomba miadi na Rais wamekwama, na sasa wameshindwa kuonana naye tena kwenye sherry party".
Maana yake kauli ya Lipumba naweza kusema mabalozi wanamtaka rais wetu kuliko sisi tunavyowahitaji au kuna mambo wanayotaka kusikia kutoka kwake mwenyewe, hawawaamini mabalozi wetu na Mawaziri wetu kwa kauli za serikali!!!
Huo ni upuuzi kama hawawaheshimu wakwetu.