Dah watu wamesha kula mihela hatuoni tena kampeni mbu bado wanatung'ata kama kawa.
Pesa wajanja wamesha zila viingilio vilivyo tozwa mlangoni wajanja wamesha gawana, Ikulu ya Rais imesha tulia nayo hakuna mrejesho kufuatilia kama kampeni ile imezaa matunda au lah.
Mkuu wa nchi anapotumika kutangaza tamasha biashara ya wahuni flani!!Sikufahamu kuwa walimuweka hadi kwenye VIDEO.
YouTube- ZINDUKA NA MALERIA TANZANIA-kingwendu ,JAY D,MR KIKWETE-
Mkuu wa nchi anapotumika kutangaza tamasha biashara ya wahuni flani!!
By the way,iam interested to see the campaign document, the activities, outcomes and expected impact.
This seems to be a project by itself. au nakosea wakuu? I mean, sio tamasha moja na Tshirts kadhaa tu.........I want to see the set of activities they are planning to do.
Pia nataka kuona maelezo ya tatizo----problem statement......na uthibitisho wa tatizo.......justification for deciding to use campaign method.
Mkuu kama hivi ndivyo, basi naanza kuchoka.Kwa mtu kama Ruge na Kusaga, sidhani kama hayo utayapata.
Hawa jamaa ni waandaaji matamasha. Hayo unaongelea wewe ni ya juu mno kwao. Inabidi watu na shule yao wakae na kujadili hii kitu na kuangalia nini itakuwa matokeo. Hawa jamaa walikaa na kujadili ni kiasi gani kitaingia kwenye account zao. Outcome sijui impact au productivity, hiyo utajibiwa kwa Kiswahili cha siku hizi yaani UTAJIJU......
Hapa hakuna cha kampaini mzee alidanganya wajanja wakajisavia
Mkuu kama hivi ndivyo, basi naanza kuchoka.
Ina maana campaign ilikuwa ya siku moja?
...........