Julius K. Nyerere: Ikulu ni pahali patakatifu, sio pango la wanyang'anyi

ImageUploadedByJamiiForums1428090321.656081.jpg
Mwalimu nyerere aliposema Ikulu sio mahala pa mchezo ni patakatifu alimaanisha lazima kiongozi afikiri juu ya watanzania na mustakabali wao mmemwona Obama?Hata ukimwongeza muda hatamani tena,Nashangaa africa wanang'ang'ania Ikulu.
 
Hata ukiwaangalia Rais Carter, Rais Clinton, Rais Bush na Rais Reagan; nao walibadilika vya kutosha kimwili kutokana na stress ya kazi ndani ya miaka minane waliyokuwa Ikulu. Maajabu viongozi wetu wa Afrika hata wakikaa ikulu miaka 20 hawabadiliki kimwili kutokana na stress ya kazi bali wanabadilika tu kutokana na umri kusogea. Masikini Mama Afrika, nakulilia!!!
 
Na hapo ndio utangua viongozi wetu ni watu wa kushibisha matumbo tu
Wakiingia ikulu wanaanza kunona kila siku zikisogea.
 
Hata ukiwaangalia Rais Carter, Rais Clinton, Rais Bush na Rais Reagan; nao walibadilika vya kutosha kimwili kutokana na stress ya kazi ndani ya miaka minane waliyokuwa Ikulu. Maajabu viongozi wetu wa Afrika hata wakikaa ikulu miaka 20 hawabadiliki kimwili kutokana na stress ya kazi bali wanabadilika tu kutokana na umri kusogea. Masikini Mama Afrika, nakulilia!!!

Kabisa mkuu....

Wenzetu urais kwao ni mzigo. Hujisikia fahari kuwa sehemu ya kubeba mizigo ya watu. ndio maana wengi huzeeka upesi kwa misongo ya majukumu.

Afrika urais ni ulaji na utukufu mwingi ndio maana wanaoupata wengi hunawiri.
 
View attachment 240240
Mwalimu nyerere aliposema Ikulu sio mahala pa mchezo ni patakatifu alimaanisha lazima kiongozi afikiri juu ya watanzania na mustakabali wao mmemwona Obama?Hata ukimwongeza muda hatamani tena,Nashangaa africa wanang'ang'ania Ikulu.
Kweli Kabisa mkuu hata juzi kuna gazeti moja la uingereza lilitoa viongozi wao mbali mbali walivyochoka leo hii ni afrika tu viongozi wananawili na wako tayari kufia kwenye kidonda kama nzi ilimradi wameingia ikulu kwani wanajua huko wanachoenda kufanya.
 
Ikulu si mahali patakatifu. Mwalimu alikuwa mwongo kwa hilo, aliwaongoza wa TZ kwa misingi ya Ki Dini.
 
Ikulu siyo pango la walanguzi.

Ukiimuona mtu anakimbilia Ikulu tena kwa kutumia mabilioni yake kuhonga honga ni wa kumuogopa kama ukoma.

Ni lazima tujiulize, kama mabilioni hayo ameyakopa atayalipaje wakati Ikulu hakuna biashara yoyote, na kama hizo pesa anazohonga honga ni zake, kazipataje?!
By Mwalimu Nyerere.

cc: Mzee wa mamvi
 
Ikulu si mahali patakatifu. Mwalimu alikuwa mwongo kwa hilo, aliwaongoza wa TZ kwa misingi ya Ki Dini.
Ukimuona mtu anatumbukiza udini au ukabila kwenye siasa, ujue huyo mtu amefilisika kisiasa!
By Mwalimu Nyerere
 
Ikulu si mahali patakatifu. Mwalimu alikuwa mwongo kwa hilo, aliwaongoza wa TZ kwa misingi ya Ki Dini.
Mtaenda kinyume nyume ktk kila kitu hadi lini.Ni rahisi sana kuingia shimoni.Ndio maana masiha yenu ni miseries kila mahali duniani.hamkosi sababu za kuleta vita kwa vile hamna dira ya kufikiri.
 
Ikulu si mahali patakatifu. Mwalimu alikuwa mwongo kwa hilo, aliwaongoza wa TZ kwa misingi ya Ki Dini.

Hebu mwacheni mwalimu apumzike kwa amani.. Kuna kiongozi aliyewahi kukemea na kuepusha udini nchi hii kama Mwalimu..? Unafahamu michakato aliyoifanya ili kuweka usawa kielimu na katika huduma za jamii..? Acheni kukimbilia kulalamika na kumsingizia mwalimu..
 
" Ikulu Kuna Biashara Gani? Ukimuona Mtu, Anakimbilia Ikulu, Basi Ujue Kwamba Mtu Huyo Niwakumuogopa Kama Ukoma!!, Ikulu Ni Mzigo!!!, Ikulu Sio Pango la Walanguzi, Mimi Nimekaa Ikulu Miaka 23, Ikulu sio Pakukimbilia, Hivyo Ktk Suala La Uadilifu, Tunataka, Rais Wetu, Ajae, Atambuwe Hivyo, Na Awe Ni Kiongozi, Anaechukia, RUSHWA, Kwa Dhati Bila Shaka Yeyote, Aweze Kuichukia Rushwa, Kwa Vitendo, Asiepokea Rushwa, Wala Kutoa Rushwa, Na Tukimuangalia Kwa Macho Tu, Tuweze Kutambua Hivyo, Sio Ukimuangalia tu, Usoni, unasema, Huyu,!!!!, aaaaaaa Unamtilia Mashaka."
 
NYERERE: Msemo huu kwa baba wa taifa ulimfaa sana kwa kua aliuishi kwa vitendo kiasi cha kutengeneza mpaka azimio la arusha ili liwaongoze viongozi katika kufanya kazi kwa maslahi ya watanzania vitendo vya rushwa ufisadi vilikua ni nadra kuvisikia japo ye mwenyewe alikiri kua vilikuepo lakini walikua wakali kupindukia maana walikua wanajua rushwa na ufisadi vitawanyima haki watanzania wa hali ya chini. MWINYI: yeye aliona azimio hili litambana sana akaamua kukaa yeye na wenzake wakaamua kulifukia azimio la arusha na kuunda lao la kuruhusu kila kitu na ndipo ufisadi rushwa na maadili mabovu yalipoibuka kwa kwa kasi ya hali ya juu kwa kua kila kitu kilikua ruksa MKAPA: huyu aliamua kuitumia ikulu atakavyo kiasi kwamba ikulu iligeuka sehemu ya biashara kati yake yeye na mkewe kwa kutumia azimio lile waliloliibua wakiwa na mwinyi aliamua kubinafsisha kila alichoona kinafaa kwa raia wa kigeni waliojulikana kwa jina la wawekezaji bila kujali mwananchi wa kawaida atafaidika vipi na kuingia mikataba bila kujua kesho na keshokutwa itawasaidia nini watanzania wa hali ya chini KIKWETE: kama kuna sehemu watanzania wanalia na kilio chao kua kama machozi ya samaki baharini ni hapa mtu huyu alikuja na maneno matamu sana kila mtu aliingia mkenge bila kujua msemo wake ulikua ni maisha bora kwa kila mtanzania huyu jamaa ametufanya kila mtu anaekuja na maneno kama haya tumuogope kama kikwete mtu huyu alikuta kiberiti kinauzwa sh/20 lakini sasa ni 100-150 vyakula usiseme hapa ndipo rushwa ilipotamalaki ufisadi ulitamalaki maadili mabovu yalitamalaki viongozi wa uma kuiba ni kitu cha Kawaida ukitaka huduma utazungushwa mpaka utoe kitu kidogo utawala huu ni kama hauna mkubwa wala mdogo wote ni wakubwa kila mtu anasharubu ni rahisi mdogo kupingana na mkubwa na ni rahisi mkubwa kutoa maagizo kwa mdogo na mdogo kuamua kupuuza hali hii imezaa uharibifu katika taifa watu wanagawana rasilimali za nchi ukiuliza na kuonya basi maisha yako yapo hatarini walimu madaktari wafanyakazi wa uma wanataabika na mshahara mdogo lakini hawasikilizwi ni rahisi kusikia trilioni 1 imepotea na watu wakakaa kimya haijulikani rais ni nani wala mwenyekiti wa kijiji ni nani makampuni feki mikataba ya kunufaisha wakubwa na sio wananchi maskini visa kama buzwagi richmond barick escrow na vingine vingi vimeliangamiza taifa hili viongozi kuwajibu mbovu wananchi ni kitu cha kawaida dahh!!!!?? Nimechoka kuelezea endelea na wewe cha ajabu yote yanatokea katka utawala wa chama kimoja na viongozi wake. Tafakari chukua hatua 2015 october tarehe 25.Nawasilisha kwenu wanabody
 
Ccm hawawezi kulima ndio maana wanaogopa kutokA ikulu,wewe mtu kAma Ridhiwani lini atakamata jembe kamA Mwl Nyerere !!
 
Back
Top Bottom