Ikulu na warembo wa Afrika ya Mashariki

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,489
79
Hivi unatakiwa uwe na sifa gani au uwe umefanya kitu gani ili ualikwe ikulu ya Tanzania? Hivi wana JF ni lini wasomi wetu wenye uchungu na nchi yao nao wataitwa ikulu? Au ndio kusema kwamba ikulu inawenyewe?
 
Aisee asante sana kwa kuweka hii thread nilikuwa nafikiria hicho hicho hivi jamani wanaJF na wageni ni haki kweli nyumba kubwa iwe inaingiliwa hivyo bila mpangilio??potential scientists and farmers hawapewi chance ya kuingia kudiscuss important issues lakini warembo wanaingia na wanahostiwa chakula cha jioni na familia ya kwanza. TUTAFIKA???????
 
Hii thread wadau wameikwepa. Nadhani nao wanakubaliana na Ikulu kualika celebs tu...! JS tutafika tu...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom