Ikulu kuna biashara gani?nimekaa pale miaka 23 ni matatizo tu pale.

Ringo Edmund

JF-Expert Member
May 10, 2010
4,881
1,124
Jamani watz wenzangu mnaolipenda taifa hili na kulitakia mema,nilikuwa najaribu kuangalia kauli hii ya baba wa taifa nikashindwa kupata jibu na kichwani yakaja maswali kibao.
naomba mnisaidie katika haya.
1.Mwalimu alikuwa mbumbumbu kiasi hiki na asielewe kwamba ikulu ni zaidi ya biashara?
mbona wateule wake ndio wamepiga dili la kufa mtu pale?
na je akifufuka leo atafuta huo usemi na kujilaumu kwa kutokupiga dili hadi akatoka maskini?

2.Atatuambia kuwa ilikuwa halali kwake kujenga na kuzilinda nyumba za serikali,viwanda,madini,mbuga za wanyama,bot nk?aliowakataa kwa kauli kuwa ni wakuogopwa kama ukoma(mrema na wenzake)atakuwa tayari kuwaomba msamaha kuwa alikosea kwa sababu watanzania walimwamini na kuwapa chaguo lake?

3.Dini kuwa kigezo cha kulindwa ni sahihi?baada ya machaguo yake kuchemsha mmoja mkristo na mwenzake mwislamu,wa dini moja wamesema no utafutwe utaratibu sheria ichukue mkondo wake akajibu mahakamani,ila wa dini nyingine wanasema no msimguse ni wa dini yetu,wengine kwa kejeli sijui wamenunuliwa?sina uhakika ila inatia shaka kama akili zao ziko sawa ukiangalia hata hapa jf malaria sugu,faiza fox,rejao,ritz,na wenzao wanafanana na hawa,hawa watu ni dini moja hawataki kuona matatizo ya serikali iliyopo madarakani kisa ni dini yao.
wanaleta madai ya mwaka 92 ambayo yamefanywa na na serikali ya ccm ambayo bado iko madarakani badala ya kuiuliza wanasema ni kwa sababu ni dini yetu.
mikataba iliyosainiwa na awamu ya pili msimguse rais aliyekuepo kwani ni dini yetu,iliyosainiwa awamu ya tatu aulizwe ya nne msimguse.

4.Mkataba wa mou kati ya serikali na ulisainiwa na mrithi wako mwinyi je alitenda sawa kwa mujibu wa katiba?
Mkataba wa kuwapa waislamu majengo ya tanesko morogoro ulisainiwa na chaguo lako je ni sawa kwa mujibu wa katiba?
kuuziana nyumba za serikali,migodi,na viwanda ni huyohuyo.
Aliyerusu kuendelea kuuza migodi,wanyama,kujenga mahoteli mbugani,kujenga makundi ndani ya chama naserikali,mawaziri kushutumiana hadharani,udini ni awamu ya nne ambayo ulituambia hajakomaa tukamsubiri kidogo je ni halali kwa mujibu wa katiba?
 
what does it serve us now? simply memories of the better times we had under a steadfast leadership? look at all the mess we are in, and could you believe it all started after these words right here! God Bless us and Keep us safe, we love you Tanzania!
 
Yeye alishamaliza kazi yake ametangulia mbele ya haki.
Kilichobaki ni mimi na wewe tutaikomboaje Tanzania.
 
Tofauti ni mitazamo tu, JK yule alikuwa akiona "KULE" na JK huyu anaona "HAPA".
 
"Ikulu si Pango la Walanguzi". Maskini ya Mungu kumbe hiyo kauli ya mwalimu ndiyo iliyochochea wizi. Ikulu ni dili kwa Jk na Mkapa nyie hamjui tu!
We huoni kina mbowe wanapigania kuingia huko? Slaa na uzee wake wote,kukimbizwa na FFU mpaka kujificha kwenye spika yote hivyo unafikiri ni bure? Kuna ulaji huko Ikulu na wote wanazitaka hizo dili.
 
Jamani watz wenzangu mnaolipenda taifa hili na kulitakia mema,nilikuwa najaribu kuangalia kauli hii ya baba wa taifa nikashindwa kupata jibu na kichwani yakaja maswali kibao.
naomba mnisaidie katika haya.
1.Mwalimu alikuwa mbumbumbu kiasi hiki na asielewe kwamba ikulu ni zaidi ya biashara?
mbona wateule wake ndio wamepiga dili la kufa mtu pale?
na je akifufuka leo atafuta huo usemi na kujilaumu kwa kutokupiga dili hadi akatoka maskini?

2.Atatuambia kuwa ilikuwa halali kwake kujenga na kuzilinda nyumba za serikali,viwanda,madini,mbuga za wanyama,bot nk?aliowakataa kwa kauli kuwa ni wakuogopwa kama ukoma(mrema na wenzake)atakuwa tayari kuwaomba msamaha kuwa alikosea kwa sababu watanzania walimwamini na kuwapa chaguo lake?

3.Dini kuwa kigezo cha kulindwa ni sahihi?baada ya machaguo yake kuchemsha mmoja mkristo na mwenzake mwislamu,wa dini moja wamesema no utafutwe utaratibu sheria ichukue mkondo wake akajibu mahakamani,ila wa dini nyingine wanasema no msimguse ni wa dini yetu,wengine kwa kejeli sijui wamenunuliwa?sina uhakika ila inatia shaka kama akili zao ziko sawa ukiangalia hata hapa jf malaria sugu,faiza fox,rejao,ritz,na wenzao wanafanana na hawa,hawa watu ni dini moja hawataki kuona matatizo ya serikali iliyopo madarakani kisa ni dini yao.
wanaleta madai ya mwaka 92 ambayo yamefanywa na na serikali ya ccm ambayo bado iko madarakani badala ya kuiuliza wanasema ni kwa sababu ni dini yetu.
mikataba iliyosainiwa na awamu ya pili msimguse rais aliyekuepo kwani ni dini yetu,iliyosainiwa awamu ya tatu aulizwe ya nne msimguse.

4.Mkataba wa mou kati ya serikali na ulisainiwa na mrithi wako mwinyi je alitenda sawa kwa mujibu wa katiba?
Mkataba wa kuwapa waislamu majengo ya tanesko morogoro ulisainiwa na chaguo lako je ni sawa kwa mujibu wa katiba?
kuuziana nyumba za serikali,migodi,na viwanda ni huyohuyo.
Aliyerusu kuendelea kuuza migodi,wanyama,kujenga mahoteli mbugani,kujenga makundi ndani ya chama naserikali,mawaziri kushutumiana hadharani,udini ni awamu ya nne ambayo ulituambia hajakomaa tukamsubiri kidogo je ni halali kwa mujibu wa katiba?
Hatutaacha kusema na kujadili. Nchi imetumbukia shimoni katika awamu ya nne na ya pili. Awamu ya pili waliibuka mashemeji wa IKULU. awamu ya pili shule na makanisa vilichomwa moto mkuu wa nchi akadanganya ni mishumaa.
Awamu ya 4 tunaambiwa UFISADI wa Kiongozi wa nchi unalindwa na watu wa DINI yake.
Nchi inauzwa kwa watu wa dini ya kiongozi wa nchi. Hatujawahi kushuhudia serikali dhaifu kuliko awamu ya nne.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom