Ikulu kumjibu Lema...

Jamani hivi kikwete hana akili kabisa. Mnakumbuka siku alipokana 'dowans'. Eti haijui wala hafahamu dowans. Huu ni ujinga mkubwa kufanya watanzania hawajui chochote.
 
T 2015 CDM?

Hiyo namba ya uisajili ni nzuri, inabidi magari ya magogoni yapewe usjili huo kabla muda haujafika
 
Hivi kuna haja yoyote ya kumjibu Lema, yule si naye ni kama amechanganyikiwa? Nadhani inatokana na ukweli kwamba atakosa posho za vikao vya bunge ndiyo maana anaamua kutjipatia posho hizo kupitia majukwaa.

mukuu acha ujinga yule hawezi changanyikiwa kisa posho huo niumbea kwanza pesa ipo tena sio yaufisadi sawa?
 
'Tupinge'.....Ikulu ikimjibu Lema nitaamini maneno ya Lema mia kwa mia. Isipojibu nijua ulikuwa upepo wa kisiasa tu. Majibu ya ikulu hasa Rweyemamu huwa ni mepesi kama Sufi.
 
Hivi kuna haja yoyote ya kumjibu Lema, yule si naye ni kama amechanganyikiwa? Nadhani inatokana na ukweli kwamba atakosa posho za vikao vya bunge ndiyo maana anaamua kutjipatia posho hizo kupitia majukwaa.
Wee Kenge, rudi majini tu maana hata kuandika Kiswahili kinakushinda! Pili, kama majukwaa yanalipa posho basi Kichwa cha nazi na Nepi watakuwa matajiri sana!
 
Lazima udharauliwe, ukiendelea na misimo yako unadhihakiwa, ukiendelea unapingwa na unapigwa, ukiendelea unashinda.
 
ni repercusion si repacation!
Wee Jogoo, lugha yako si kuwika tu wewe? Tangu lini ukajua Kiingereza? Ngoja tukufundishe lugha ya Malkia, hilo neno halipo kabisa labda kwenye lugha za ndege, neno sahihi hapo ni Repercussion Kama hujui kitu usijitie kimbelembele kukosoa. Pambaf!
 
Kweli Ikulu yenu haina kazi! Si wangenyamaza tu maana hii ni aibu kwao. Hebu nisaidieni, hivi huyu Salva ni yule mwandishi wa habari ambaye mkewe aliandikwa kwenye Daily News kuwa alijilipua (alichana passport ya Tanzania) Uingereza na kudai ati ni mkimbizi wa kisiasa? Je, nini status ya mkewe siku hizi? Bado ni mkimbizi? Ama kweli JK kiboko, hivi kama vetting ingefanyika kweli unaweza kumteua Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu ya nchi mtu ambaye mkewe kaikimbia nchi hiyohiyo tena katika mazingira tata? Ni Bongo pekee ambapo mtu na mdogo wake wanateuliwa Waziri na Katibu Mkuu (ama Naibu Waziri) wizara moja. Kweli usalama wa taifa umekuwa usalama wa Nyinyiemu
 
HALI BADO NI TETE HAPA NA INAVYOONEKANA MKULU ANATAKA LMA AJIBIWE ILHALI WAKUU WA HAPA HAWATAKI KUMJIBU,AKIZUNGUMZA KWA SIMU KUTOKA HUKO ALIKO MKUU AMESEMA LAZIMA WARAKA ULE UJIBIWE NA IKIBIDI HATUA ZA NIDHAMU DHIDI YA LEMA ZICHUKULIWE HII SIJUI MAANA YAKE NA MSINIULIZE

SINA HAKIKA WARAKA HUU UTAJIBIWA KWANZA AU ADHABU KALI DHIDI YA LEMA ITACHUKULIWA KWANZA,NIMESIKIA KUWA RWAITAMA NAE ANAZUNGUMZWA INAWEZEKANA ADHABU HII IKAWAKUMBA WOTE NAMAANISHA LEMA NA RWAITAMA

MKUU WA KAYA ANA VISA NA HIKI LAZIMA ATAJIBU KWA KISHINDO


pepooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooozzzzzzzzzzzz

HERI VITA INAYOSAKA HAKI KULIKO.......................................................BY GOD LEMA MBUNGE COURT OF APPEAL
 
Back
Top Bottom