Ikulu kumjibu Lema...

Hivi kuna haja yoyote ya kumjibu Lema, yule si naye ni kama amechanganyikiwa? Nadhani inatokana na ukweli kwamba atakosa posho za vikao vya bunge ndiyo maana anaamua kutjipatia posho hizo kupitia majukwaa.

Salva in action. Hongera naona umeanza kujibu hoja humu humu JF...
 
Kama Ikulu ikimjibu Lema basi kuna ukweli waliingili kesi yake kwahiyo wanajihami kwa nguvu zote
 
Kweli Lema chiboko yaani Ikulu inamjadili na kujibizana na Lema ,wanazidi kumpandisha chati.ingieni kwenye gari T2015 CDM kabla mlango haujafungwa
 
kama mtoa mada yuko mjengoni na bado wako m4c hapa mkuu wa kaya anatakiwa awe makini sana hadi mpishi ni chadema du hii kali ya mwaka jf
 
Nabashiri kuwa Jk atamkana yeyote kutoka Ikulu atakayeitisha press conference kumjibu Lema.
 
jana waraka ulioandaliwa kumjibu lema ulikataliwa na mkuu wa kaya baada ya kutumiwa na kujibu kutoka kwa simu yake neno moja tuu "hapana"

sasa hivi wakuu wa kujibu wanahangaika baada ya kupokea maelekezo na marekebisho ya waraka wao,naamini kufikia leo jioni waraka wa ikulu dhidi ya lema utakuwa umejibiwa .

Hii inaweza kwenda mbali zaidi na ikamlazimu salva kufanya press conf leo mchana

lema jembe bana toka jana mpaka leo story hapa kwa mkuu wa kaya ni lema lema mpaka mzee mmoja mpishi muongeaji sana wamembatiza jana anaitwa lema

pepozzzzzzzzzzzzzzzzzzz''''

mhhhh mbona hawabu mpaka sasa??
 
Hivi kuna haja yoyote ya kumjibu Lema, yule si naye ni kama amechanganyikiwa? Nadhani inatokana na ukweli kwamba atakosa posho za vikao vya bunge ndiyo maana anaamua kutjipatia posho hizo kupitia majukwaa.

Pole sana, maana povu linazidi mdomo!
 
Kama Ikulu ikimjibu Lema basi kuna ukweli waliingili kesi yake kwahiyo wanajihami kwa nguvu zote

Kwa hiyo mpaka sasa wewe hujui kuwa hukumu iliingiliwa na Ikulu? Aliyoyasema mkuu wa mkoa wa Arusha wiki kadhaa zilizopita zilikuwa ni uthibitisho mtupu kuwa hakimu alifanya alichoagizwa kukifanya.
 
Kama wanafikiri kwa kutumia jina la Mayor wa Darisalamu watamjibu Lema. Na ikitokea wakimjibu tu lazima Lema apasue kilichojiri kwenye kikao chao cha Oysterbei.

Wakinyamaza wamemuogopa, wakimjibu wanadhihirisha aibu ya kumnyang'anya ubunge.
 
jana waraka ulioandaliwa kumjibu lema ulikataliwa na mkuu wa kaya baada ya kutumiwa na kujibu kutoka kwa simu yake neno moja tuu "hapana"

sasa hivi wakuu wa kujibu wanahangaika baada ya kupokea maelekezo na marekebisho ya waraka wao,naamini kufikia leo jioni waraka wa ikulu dhidi ya lema utakuwa umejibiwa .

Hii inaweza kwenda mbali zaidi na ikamlazimu salva kufanya press conf leo mchana

lema jembe bana toka jana mpaka leo story hapa kwa mkuu wa kaya ni lema lema mpaka mzee mmoja mpishi muongeaji sana wamembatiza jana anaitwa lema

pepozzzzzzzzzzzzzzzzzzz''''

wewe usipoacha mdomo wako mrefu utafukuzwa kazi,
hufai na hata wanasupport message kiukweli hakuna anayeweza kuajiri mtu kama wewe,
heshimu kazi yako, kazi ndo utu wako haya majungu ya siasa hayakupeleki popote.
 
Huyu jamaa anaweza kuwa katumwa kucheck repacation ya majibu endapo Ikulu itamjibu Lema.
 
Look if I shoot you, I'm brainless
But if you shoot me, you're famous what's a n*gga to do?
- Jay-Z, Where I'm From
 
Back
Top Bottom