Ikulu kumjibu Lema...

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
JANA WARAKA ULIOANDALIWA KUMJIBU LEMA ULIKATALIWA NA MKUU WA KAYA BAADA YA KUTUMIWA NA KUJIBU KUTOKA KWA SIMU YAKE NENO MOJA TUU "hapana"

SASA HIVI WAKUU WA KUJIBU WANAHANGAIKA BAADA YA KUPOKEA MAELEKEZO NA MAREKEBISHO YA WARAKA WAO,NAAMINI KUFIKIA LEO JIONI WARAKA WA IKULU DHIDI YA LEMA UTAKUWA UMEJIBIWA .

HII INAWEZA KWENDA MBALI ZAIDI NA IKAMLAZIMU SALVA KUFANYA PRESS CONF LEO MCHANA

LEMA JEMBE BANA TOKA JANA MPAKA LEO STORY HAPA KWA MKUU WA KAYA NI LEMA LEMA MPAKA MZEE MMOJA MPISHI MUONGEAJI SANA WAMEMBATIZA JANA ANAITWA LEMA

pepozzzzzzzzzzzzzzzzzzz''''
 
Mmmmmh! ngoja tusibiri tuone majibu! akichemka atajibiwa tena na makamanda
 
Mkuu uko jikoni kabisa ? Tujuze wanavyo haha huko hahahaaaaaaa Lema bana,sasa huyo mpishi anatakiwa aanzishe M4C hapo Magogoni bana
 
Kama mzee wa mipasho amesema hapana jua ya kwamba ameshapeleka mkono kwa mamba sasa anajua ifuatayo itakuwa ni kuliwa mwili mzima. Hakutegemea lema kama angeweza kutoboa siri yake kuwa alimshawishi kuhamia nyinyiem
 
Kama kweli Ikulu itamjibu Lema, basi itakuwa ni 'new low' kwa Ikulu.

Mkuu mleta uzi,. unaonekana uko jikoni kabisa, sasa nisaidie kidogo haya maswali??
1, Hivi JK ni wakina nani huwa wanamshauri kabla ya kuongea au kutoa speech??ni Mzee yusufu au....???
2. Anazungumziage M4C au nayeye ni kama wasira jana katika kipindi cha itv cha dk 45 na Semunyo?
3. Vp huyo mkuu anamikakati gani kwa hii miaka mitatu mbona kila kitu kimemshinda
4. Anasemaje kujivua gamba, maisha bora kwa kila mtanzania, kasi mpaya ari ..... au nayo ni upepo tu
Inshort JK sinahamu naye
 
Naomba ubadilishe heading isomekee hivi.IKULU KUJITETEA KWA LEMA.
Na kama mnabisha mtaona kitakachoandikwa kama si kujitetea.
 
Mkuu wa mawasiliano na habari ni mwandishi Salva Rweyemamu,wanaojua kazi ya RWEYEMAMU wakati mtandao ukijiandaa kwenda Ikulu watakumbuka mchango wake mkubwa ulikuwa kusifia kichwa cha nazi na kuchafua wagombea wazalendo kwa kadiri ilivyowezekana.

Kwa ajili hiyo ukiangalia press release zote za Salva hutakosa maneno aina ya majitaka au mipasho au dalili za ukosefu wa mamlaka ya kimaadili.

Mliona utetezi dhidi ya suti tatu,au dhidi ya tuhuma za awali za Lema dhidi ya Ikulu?
mkingoja jibu la msingi kwa Salva mtangoja sana....chambilecho Mkapa!
 
JANA WARAKA ULIOANDALIWA KUMJIBU LEMA ULIKATALIWA NA MKUU WA KAYA BAADA YA KUTUMIWA NA KUJIBU KUTOKA KWA SIMU YAKE NENO MOJA TUU "hapana"

SASA HIVI WAKUU WA KUJIBU WANAHANGAIKA BAADA YA KUPOKEA MAELEKEZO NA MAREKEBISHO YA WARAKA WAO,NAAMINI KUFIKIA LEO JIONI WARAKA WA IKULU DHIDI YA LEMA UTAKUWA UMEJIBIWA .

HII INAWEZA KWENDA MBALI ZAIDI NA IKAMLAZIMU SALVA KUFANYA PRESS CONF LEO MCHANA

LEMA JEMBE BANA TOKA JANA MPAKA LEO STORY HAPA KWA MKUU WA KAYA NI LEMA LEMA MPAKA MZEE MMOJA MPISHI MUONGEAJI SANA WAMEMBATIZA JANA ANAITWA LEMA

pepozzzzzzzzzzzzzzzzzzz''''

Wewe ni nani sasa mpka uwe hapo kwa Mkuu wa kaya? Hebu kauze dagaa mchele wako hapo Ferry.
 
JK hajijui kama yeye ni chinga, mpiga debe, dreva toyo, rais wa tz, mkulima, mfanyakazi, mfanyabiasha, mbibi, mbabu, mtoto mchanga, mpishi, kichaa, mwanamke, mwanaume, muuza fegi, msanii, mbunge,binadamu, bata, kuku yaani kila kitu. JK hajielewi yeye ni NANI na anatakiwa AFANYE nini ktk nji hii. HAJIELEWI. TOTAL FRUSTRATED. Ndiyo maana IKULU inajiandaa kujitetea kwa Lema.
 
Mkuu wa mawasiliano na habari ni mwandishi Salva Rweyemamu,wanaojua kazi ya RWEYEMAMU wakati mtandao ukijiandaa kwenda Ikulu watakumbuka mchango wake mkubwa ulikuwa kusifia kichwa cha nazi na kuchafua wagombea wazalendo kwa kadiri ilivyowezekana.

Kwa ajili hiyo ukiangalia press release zote za Salva hutakosa maneno aina ya majitaka au mipasho au dalili za ukosefu wa mamlaka ya kimaadili.

Mliona utetezi dhidi ya suti tatu,au dhidi ya tuhuma za awali za Lema dhidi ya Ikulu?
mkingoja jibu la msingi kwa Salva mtangoja sana....chambilecho Mkapa!

Nadhani, uelewa mdogo nao unachangia nchi sasa kuwa ya majungu na ushabiki usiyo na tija. Hivi Salva anasakamwa kwa sababu ni msemaji wa Ikulu au kwa sababu yuko katika nafasi ambayo wengi waliimezea mate na hawakuipata?
 
JK hajijui kama yeye ni chinga, mpiga debe, dreva toyo, rais wa tz, mkulima, mfanyakazi, mfanyabiasha, mbibi, mbabu, mtoto mchanga, mpishi, kichaa, mwanamke, mwanaume, muuza fegi, msanii, mbunge,binadamu, bata, kuku yaani kila kitu. JK hajielewi yeye ni NANI na anatakiwa AFANYE nini ktk nji hii. HAJIELEWI. TOTAL FRUSTRATED. Ndiyo maana IKULU inajiandaa kujitetea kwa Lema.

Hivi kuna haja yoyote ya kumjibu Lema, yule si naye ni kama amechanganyikiwa? Nadhani inatokana na ukweli kwamba atakosa posho za vikao vya bunge ndiyo maana anaamua kutjipatia posho hizo kupitia majukwaa.
 
Kengemamuji siyo kweli nawe pia ujitambui, Salva siyo kweli kwamba ni right candidate pale na fitina zao za wanamtandao wahandishi wa habari zinajulikana labda kama wewe pia ni mfuasi wao useme.
Salva hana CREDIBILITY yoyote ameokotezwa tu kwa ajili ya mtandao ni kuwekwa pale na ndio maana hata press release zake kutoka Magogoni usabbabisha maswali mengi kuliko majibu.Ni vema mtu ukajimbua nafasi yako kama binadamu sahihi na kuacha kutumika na kutumiwa kama condomu.
 
nategemea jibu la ndiyo mh.lema sababu kila alichosema ni ukweli mtupu,.jk underestimated the courage of this comrade
 
Back
Top Bottom