Ikulu kumchunguza Nyalandu kuhusu uhaini

Status
Not open for further replies.
hivi mtu anayechunguzwa si anatakiwa kuachia ofisi katika kipindi hicho?eg.jairo..
hivi jk ana tofauti gani na hao akina nyalandu?kawauzia marekani kigamboni,namtumbo(uranium)..
 
Hata wakichunguza na kupata ukweli hawatafanya chochote zaidi ya ripot hiyo kufungiwa ktk makabati ya ikulu kama majarada ya mafisadi yalivyofungiwa ikulu. serikali ya ccm ni mbwa koko inajua kubweka tu, kuuma na kukamata haiwezi hata kidogo
 
kutokana na kauli yake aliyoitoa na hofu ya watanzania kuendelea kutumiwa na wasio itakia maendeleo nchi hii, ikulu imeamua kufanya uchunguzi wa kina ikiwa ni pamoja na safari, mawasiliano yake kwa njia za email na simu, tweeter, facebook n.k, vile kuangalia program anazo zisimamia za kusomesha watoto katika maeneo ya mradi na kuchunguza funders wake.

Kingine kuangalia social network na ulimwengu wa kiintelegensia wa magharibi, endapo ataonekana na hatia adhabu ya uhaini itapambana nae hii ni kutokana na kauli yake aliyo isema marekani ina mataka awe rais wa 2015, swala la moja kwa moja ni kwa maslahi ya nani?? Na kwanini??? Na kwanini aseme sasa hivi katika kipindi hiki??? Nani anampa ujasiri huo?? Na ana immunity gani?? Handler wake ni nani?? Na je uwaziri alipewa kwa maslahi ya nani??? Au ndio ana hujumu viwanda vya ndani kwa sasa ili kutimiza ndoto ya urais ???


Naomba kuwasilisha nikiwa nasaka mengine yanayojiri.



muwongo muwongo muwongo

niko na gazeti hapaa sababu ya kuchunguzwa ni kuhisiwa kuwa na uraia wa marekani
nasema mwongo mwongo ingawa anawatapeliwi wanakijiji wake hana adabu mshenzi yule
 
Kutokana na kauli yake aliyoitoa na hofu ya watanzania kuendelea kutumiwa na wasio itakia maendeleo nchi hii, Ikulu imeamua kufanya uchunguzi wa kina ikiwa ni pamoja na safari, mawasiliano yake kwa njia za email na simu, tweeter, facebook n.k, vile kuangalia program anazo zisimamia za kusomesha watoto katika maeneo ya mradi na kuchunguza funders wake.

Kingine kuangalia social network na ulimwengu wa kiintelegensia wa magharibi, endapo ataonekana na hatia adhabu ya uhaini itapambana nae hii ni kutokana na kauli yake aliyo isema Marekani ina mataka awe rais wa 2015, swala la moja kwa moja ni kwa maslahi ya nani?? na kwanini??? na kwanini aseme sasa hivi katika kipindi hiki??? Nani anampa ujasiri huo?? na ana immunity gani?? handler wake ni nani?? na je uwaziri alipewa kwa maslahi ya nani??? au ndio ana hujumu viwanda vya ndani kwa sasa ili kutimiza ndoto ya urais ???


naomba kuwasilisha nikiwa nasaka mengine yanayojiri.


Acheni unafki...afadhali yake Nyalandu kaweka wazi wafadhili wake wanaomtaka IKULU...Hivi watanzania wenzangu bado mnaamini kuwa hakuna nguvu za nje ktk kutuchagulia rais.....zile Bilioni 50- uchaguzi mkuu ccm walichanganua zimetoka kwa nani na nani? au mmesahau fununu za mchango wa Brig. suleiman yahya al adawi aka mr Dowans ktk kampeni za chama twawala? heko Nyalandu kwa kubainisha mabwana wako watakao kufadhili kwani imesemwa zimwi likujualo haikuli likakwisha:juggle:
 
muwongo muwongo muwongo

niko na gazeti hapaa sababu ya kuchunguzwa ni kuhisiwa kuwa na uraia wa marekani
nasema mwongo mwongo ingawa anawatapeliwi wanakijiji wake hana adabu mshenzi yule

Mkuu unamwambia mwenzio muongo wakati tayari unasoma gazeti unalosema wanamhisi kuwa ana uraia wa Marekani tena unaenda mbali unasema ingawa anawatapeli wanakijiji mbona mheshimiwa wewe ndio mwenye utata,kwa kuwa kitendo cha kutuhumiwa kuwa ana uraia wa Marekanai tayari kwa usalama wa Taifa letu ni dowa tena kubwa sana.Uwezi kuwa raia wa Taifa jingine kisha uje kuwa Waziri wa Taifa jingine.

Haya mkuu wewe unaona sawa, yeye kaibuka uko kwenye party yake na watu wake kuwa Nchi yake USA inafikilia kuwa yeye ndie potential candidate kwa Nchi ya watu Watanzania.Hivyo uongo wa huyu mkuu mweenzio uko wapi wakati mwenzio anachofanya ni kuunganisha dot hizo kisha kwa kuongeza analolijua anatujulisha Watanzania alilosikia au kuona.Hivyo ni jukumu letu kupima lakini si kusema mwongo wakati wewe siye source, chanzo ni yeye na sio sisi.

Ebu tujiulumie ni kwa faida ya dada zako, mama zako, wadogo zako, majirani zetu, na Watanzania wengine,hivyo wakati mwingine tuwe serious na jumbe kama hizi kisha wenyewe tupime zipi pumba na wenye uwezo wa kufanyia kazi wazifanyie kazi.

Usishangae Wamarekani wanauwezo wa kuuunda chochote wanapopata maagent wa kusimamia kazi zao miongoni mwa Wananchi wenu wenyewe.Hiyo ndio uwa nawapendea Wamarekani kuwa wao adui yenu utoka miongoni mwenu.Wakijua mmejua adui yenu kupitia wao umruka futi kumi na mbili inabaki kazi kwao kuakikisha wanamuondoa kwa faida kwa kuwa nyie mkianza kumuhoji atawambia mengi waliokwisha fanya nae dhidi yenu.

Hivyo nafikili ni wakati sahihi TISS na dola nayo ikaaamka,kwa kuwa utamu wa dola ni kuwa na jeuri ya kitaifa na kimataifa isiyo ogopa mtu wala Taifa lolote lile chini ya uso wa dunia hii liwe kubwa au dogo ili mladi hatuwaingilii mambo yao.
 
yaaani kanza jia lake tu Lazaro halafu NYARANDU...yaani hilo linafanana na katibu tarafa....atupishe hapa
 
CCM wanajaribu kupandikiza issue nyingine ya Nyalandu ili kuwasahaulisha watu mambo ya msingi kama ugumu wa maisha, mfumuko wa bei, mafuta, umeme nk.
 
Watu wengine wana kiherere ndio maana wanapata mimba za utotoni; mbona mimi mke wangu kanituma nigombee Urais lakini hadi sasa sijasema? Aah waacheni tu hao
 
yaaani kanza jia lake tu Lazaro halafu NYARANDU...yaani hilo linafanana na katibu tarafa....atupishe hapa

Ndio Rais wa Tanzania 2015 kwa kuota akiwa amelala lakini. Duuh hii nchi ina michezo mingi ila usanii, tumeumudu kweli kweli.
 
CCM wanajaribu kupandikiza issue nyingine ya Nyalandu ili kuwasahaulisha watu mambo ya msingi kama ugumu wa maisha, mfumuko wa bei, mafuta, umeme nk.
Na juu ya mambo yote kabisa, ni kuwa kila mtu anatakiwa kufanya kazi kwa bidii kutafuta maendeleo yake. Hilo tunalisahau. We are being trapped by these cheap politics left and right.
 
MSIMLAUMU jamani, hiyo party kwani ilikuwa ya chai pekee?....naamini kulikuwa na vileo!
Hizi safari za jamaa huyu ni lazima zichunguzwe, maana amekuwa na mahusiano ya ajabu sana na hawa wageni. Katika eneo ninapopatia mkate mimi amekuwa akipita na makundi tofauti tofauti ya wageni weupe wa Amerika, na hawezi kumaliza mwezi bila kupita nao!

Inavosemekana yeye ni mlokole halewi, kwa hiyo hilo la kulewa halipo , espeshali kwa raisi wa UKWATA!
 
hukiona safari zimezidi ujua anauza wanyama wetu kama alivyoshindwa kuwarejesha twiga waliyo uzwa uharabuni
 
Inavosemekana yeye ni mlokole halewi, kwa hiyo hilo la kulewa halipo , espeshali kwa raisi wa UKWATA!

hakuna cha ulokole wala nini hapo, mzinzi tu! nimebukua naye pale kibaha sec (kss) miaka hiyo kabda kwa wasiomjuwa! kwa uwezo wake hata huo uwazir bado nashangaa alipewa kwa vigezo gani! mbona uwezo wake ni wa chekechea tu! ila kwa hoja ya wamarekani kuwa nyuma yake naanza kuamini kuwa anaakili za kushikiwa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom