Ikulu kumchunguza Nyalandu kuhusu uhaini

Status
Not open for further replies.

Mchaga 25

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
464
114
Kutokana na kauli yake aliyoitoa na hofu ya watanzania kuendelea kutumiwa na wasio itakia maendeleo nchi hii, Ikulu imeamua kufanya uchunguzi wa kina ikiwa ni pamoja na safari, mawasiliano yake kwa njia za email na simu, tweeter, facebook n.k, vile kuangalia program anazo zisimamia za kusomesha watoto katika maeneo ya mradi na kuchunguza funders wake.

Kingine kuangalia social network na ulimwengu wa kiintelegensia wa magharibi, endapo ataonekana na hatia adhabu ya uhaini itapambana nae hii ni kutokana na kauli yake aliyo isema Marekani ina mataka awe rais wa 2015, swala la moja kwa moja ni kwa maslahi ya nani?? na kwanini??? na kwanini aseme sasa hivi katika kipindi hiki??? Nani anampa ujasiri huo?? na ana immunity gani?? handler wake ni nani?? na je uwaziri alipewa kwa maslahi ya nani??? au ndio ana hujumu viwanda vya ndani kwa sasa ili kutimiza ndoto ya urais ???

naomba kuwasilisha nikiwa nasaka mengine yanayojiri.
 
ikulu hii haina kazi kwa kweli......

na wangeanza na january ambae funders wake wamejitangaza mpaka jarida la Economist

kuwa watamsaidia kuwa Rais wa nchi hiii...............
 
Hivi ni tatizo nikisema mwaka 2015 fulani anataka niwe Rais? Siamini katika Lazaro, ila naamini hakuvunja sheria na wala si uhaini!!!
 
Kutokana na kauli yake aliyoitoa na hofu ya watanzania kuendelea kutumiwa na wasio itakia maendeleo nchi hii, Ikulu imeamua kufanya uchunguzi wa kina ikiwa ni pamoja na safari, mawasiliano yake kwa njia za email na simu, tweeter, facebook n.k, vile kuangalia program anazo zisimamia za kusomesha watoto katika maeneo ya mradi na kuchunguza funders wake.

Kingine kuangalia social network na ulimwengu wa kiintelegensia wa magharibi, endapo ataonekana na hatia adhabu ya uhaini itapambana nae hii ni kutokana na kauli yake aliyo isema Marekani ina mataka awe rais wa 2015, swala la moja kwa moja ni kwa maslahi ya nani?? na kwanini??? na kwanini aseme sasa hivi katika kipindi hiki??? Nani anampa ujasiri huo?? na ana immunity gani?? handler wake ni nani?? na je uwaziri alipewa kwa maslahi ya nani??? au ndio ana hujumu viwanda vya ndani kwa sasa ili kutimiza ndoto ya urais ???

naomba kuwasilisha nikiwa nasaka mengine yanayojiri.

Ni maamuzi mazuri sana lakin yangefanywa underground yangezaa matunda sio hivi source ulivyofanya public ni mapema sana.
 
Naona Nyarandu kaanza kampeni rasmi sasa na yeye..kazi kwenu wadanganyika!
 
MSIMLAUMU jamani, hiyo party kwani ilikuwa ya chai pekee?....naamini kulikuwa na vileo!
Hizi safari za jamaa huyu ni lazima zichunguzwe, maana amekuwa na mahusiano ya ajabu sana na hawa wageni. Katika eneo ninapopatia mkate mimi amekuwa akipita na makundi tofauti tofauti ya wageni weupe wa Amerika, na hawezi kumaliza mwezi bila kupita nao!
 
ikulu hii haina kazi kwa kweli......

na wangeanza na january ambae funds wake wamejitangaza mpaka jarida la Economist

kuwa watamsaidia kuwa Rais wa nchi hiii...............

Tena Boss huyo JM ndio naona recruitment yake bado inaendelea mpaka sasa,manake katoa story za viongozi wetu na siri za Taifa kwa waajili wao nahisi kwa kiwango kikubwa sana, manake wameshaamua kutusaliti.Nilpata kusema siku za nyuma kijana huyu na ubalozi wa Marekani ni tatizo.

Hatukatai Taifa letu kushirikina na Taifa la Marekani,lakini tusiluhusu Watuhujumu sisi kama Taifa kupitia Watanzania wenzetu ambao wanaonyesha kuwa wao umarekani kwanza kisha utanzania nyuma.Ukiwafuatilia watuhumiwa wote hao kuna kitu utakuta kinazungumza kuhusu mahusinao yao na matamanio yao dhidi ya Taifa hilo la ughaibuni.

Mbaya watu wazima wakaenda mbali kwa kuwapa madaraka kama vile Januray Makamba, Nyarandu, Masha na Ndugu yake na don wao RA.Hivi wakubwa wetu na wale wote wano deal na issue za usalama hivi wanaamini kabisa kuwa watu hawa wanaweza kuifia Tanzania.

Ila Mwanzo mzuri ni jukumu la TISS kuanza kula nao sahani kwa kuanzia wapigwe chini idala zote walizoko.Kisha next wapewe somo la kuwekwa kwenye uzalendo kwa kupewa uswahilini life style kisha baada ya miaka kumi hivi wakiludiwa watakuwa tayari kulifia Taifa na watakuwa maadui wakubwa wa mikakati yote mibaya ya Taifa letu toka kwa hilo Taifa hilo kubwa la USA.Wakitembea bila kandamili na siku mbili bila kula huku wake zao wakiwa wameshakimbia adabu italudi baada ya miaka hiyo kumi watakuwa front kwa lolote lile.

Tuludi kwa Mwalimu, vichwa vya strategy hizo Tanzania wako tele.
 
Hawa TISS hata hawaeleweki waache kedeal na RA AMBAE inasemekana ana mkono wa CIA wao wameng'ang'ana na kuilinda CCM na kudeal na watu wadogo wadogo
 
TISS wana jipya kwani nao si makada wa CCM?. lipi la maana walilotenda tangu tumewafahamu zaidi ya ile skendo yao ya
kuchakachua matokeo ya uchaguzi?
TISS HAITAKIWI KUFUNGANA NA CHAMA CHOCHOTE WAO NI KWA MASLAHI YA NCHI KWA UJUMLA
kwa vile wanatumika na magamba wameshindwa majukumu yao,kwann wasiige ya wenzao ktk nchi zingine wapigwe hata msasa
wa wiki moja tu? sioni jipya kwao zaidi ya kuwaona wakizunguka na vx mtaani huku wakiwa mstari wa mbele kuvaa kaunda suti nothin else.
 
Kama Mkwerre alitumwa na jamaa wanaomnunulia suti,
kwanini Lazaro asitumwe na Omeroon?:hatari::hatari:
 
Tena Boss huyo JM ndio naona recruitment yake bado inaendelea mpaka sasa,manake katoa story za viongozi wetu na siri za Taifa kwa waajili wao nahisi kwa kiwango kikubwa sana, manake wameshaamua kutusaliti.Nilpata kusema siku za nyuma kijana huyu na ubalozi wa Marekani ni tatizo.

Hatukatai Taifa letu kushirikina na Taifa la Marekani,lakini tusiluhusu Watuhujumu sisi kama Taifa kupitia Watanzania wenzetu ambao wanaonyesha kuwa wao umarekani kwanza kisha utanzania nyuma.Ukiwafuatilia watuhumiwa wote hao kuna kitu utakuta kinazungumza kuhusu mahusinao yao na matamanio yao dhidi ya Taifa hilo la ughaibuni.

Mbaya watu wazima wakaenda mbali kwa kuwapa madaraka kama vile Januray Makamba, Nyarandu, Masha na Ndugu yake na don wao RA.Hivi wakubwa wetu na wale wote wano deal na issue za usalama hivi wanaamini kabisa kuwa watu hawa wanaweza kuifia Tanzania.

Ila Mwanzo mzuri ni jukumu la TISS kuanza kula nao sahani kwa kuanzia wapigwe chini idala zote walizoko.Kisha next wapewe somo la kuwekwa kwenye uzalendo kwa kupewa uswahilini life style kisha baada ya miaka kumi hivi wakiludiwa watakuwa tayari kulifia Taifa na watakuwa maadui wakubwa wa mikakati yote mibaya ya Taifa letu toka kwa hilo Taifa hilo kubwa la USA.Wakitembea bila kandamili na siku mbili bila kula huku wake zao wakiwa wameshakimbia adabu italudi baada ya miaka hiyo kumi watakuwa front kwa lolote lile.

Tuludi kwa Mwalimu, vichwa vya strategy hizo Tanzania wako tele.

Naona tumeamua kudharau kila kitu hata mambo ambayo huwa hatuyadharau. Ndio maana yote haya yanawezekana. Tukiendelea kukaa kama hayatuhusu, hata kwa kuyakemea tu, watu wapumbavu pumbavu wataichukua hii nchi na kuifanya ya kwao. Ask how Mobuto and the rest were created! Ni tatizo la kushangaa the obvious!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom