Ikulu: Hatuhusiki na kumteka Dr. Olimboka

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Jana ikulu ya Jk imewaanfikia vyombo vya habari kukanusha kwa mara nyingine kutekwa na kuteswa kwa Dr. Olimboka na kusema kuwa sio kazi ya Ikulu kuteka watu na Kuuwa.

Hoja binafsi na ya Dr. Olimboka!

Kama ikulu haihusiki kwa nini wanakataaa kuunda tume huru ya uchunguzi? Na mbona kesi imesimamaa na muuwaji hajasikika tena?
 
Ni dr Ulimboka siyo Olimboka
Hata hivyo jana Ikulu imeongelea kesi hii tu? Yaani crisis yote ya jana hakuna walichokisema?!
 
Mtu mdogo sana tume ya uchunguzi ya nini aache upuuzi wake aongeze gharama kwa umuhimu gani aliokuwa nao bora angekufa kabisa tumalize upuuzi wake wa kuchochea watu kugoma au akatwe ulimi kabisa sio vidole tena
 
Huyo ulimboka katekwa na wahuni wenzake anataka kujikosha mbele ya umma hana loloye kweli ikulu I deal na mtu mpenda hela kama ulimboka shame on him
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli ikulu haihusiki kwani huyo ulimboka ana kipizaidi cha kuifanya ikulu imteke great thinker always think big
 
Ukweli utabaki kuwa ukweli ikulu haihusiki kwani huyo ulimboka ana kipizaidi cha kuifanya ikulu imteke great thinker always think big
Salmar, nakubaliana na wewe, kwa hiyo wa kutekwa ni Sheikh Farid tuu ndie mwenye chazaidi?!.
P.
 
sawa ikulu haihusiki,basi rama akamatwe .kama polisi imeshindwa kumkamata rama basi itoe ruhusa kwa ulimboka kumtia nguvuni mbaya wake.
 
Mtu alikuwa ana maugomvi yake huko na wake za watu anasema serikali amdanganye mke wake sio sisi.
sawa ikulu haihusiki,basi rama akamatwe .kama polisi imeshindwa kumkamata rama basi itoe ruhusa kwa ulimboka kumtia nguvuni mbaya wake.
 
Kwanini alietajwa ktk taarifa ya Dr.Ulimboka kwa vyombo vya habari na umma asikamatwe na kuhojiwa.Analindwa kwa maslahi ya nana kama sio ikulu?
 
Ikulu haijajibu hoja imetoa porojo,,,,ULI amesema kuwa KIGOGO WA IKULU ANAHUSIKA,,,,na mara nyingi uzoefu unaonesha ukiona IKULU inajibu ujue kweli,,,,sasa wamesubir jk amerud ndio wamejibu
 
Ikulu haijajibu hoja imetoa porojo,,,,ULI amesema kuwa KIGOGO WA IKULU ANAHUSIKA,,na wala si IKULU INAHUSIKA,,na mara nyingi uzoefu unaonesha ukiona IKULU inajibu ujue kweli,,,,sasa wamesubir jk amerud ndio wamejibu
 
Kwanini alietajwa ktk taarifa ya Dr.Ulimboka kwa vyombo vya habari na umma asikamatwe na kuhojiwa.Analindwa kwa maslahi ya nana kama sio ikulu?

hata mie nashangaa.ndio maana namshauri ulimboka amchukulie hatua kwa njia anazojua yeye tuone kama ikulu itaendelea kumkana.
 
Salmar, nakubaliana na wewe, kwa hiyo wa kutekwa ni Sheikh Farid tuu ndie mwenye chazaidi?!.
P.

Excuse my ignorance.

Na huyo sheikh Farid naye ndio nani? Mbona watu wanajitafutia umaarufu kwa nguvu, siku hizi?
 
Lenye mwanzo hua halikosi kua na mwisho, ukweli ni kama nge alie kwapani ipo siku utainua mkono kumtoa. Wanatumia nguvu nyingi sana kudanganya wakati ukweli unajulikana hata kwa watoto wadogo.
 
Back
Top Bottom