habari mbaya hii kwa UKAWA
Mkuu Rutta;
Hivi kweli na ushomile wako woote umeona habari mbaya hii ni kwa ukawa au maccm?? Naona hii ni habari mbaya kwa maccm haswa yule yule nshomile mwenzako Mwi/kai/jage alivyokuwa amekaza misuli ya shingo na jirani yake yule Muwongoo hadi kwenda nunua troop ya wafanyakazi wa maviwanda mabepari ya twiga, chui, na marehem John. Akayaleta na kuyasimamisha mstari ati ni press.
Hatafanikiwa ng'oooo. Dangote sasa ataishusha cement hadi shs 8.000/= per bag of 50 kgs. Mtameza wembe. Mliwanyonya mihera ya kampeni sasa mnataka watuumize na bei. Viva Dangote, tukomboe na makucha haya ya makupe