Ikulu bado inadeni kwa watanzania kukanusha au kuwakana waliotajwa kuhusika na utekwaji wa uli

GTMOJA

Senior Member
Jul 25, 2012
100
21
Aiingii akilini kwa serikali kuendelea kukaa kimya na badala yake kulifungia gazeti la mwanahalisi kwa tuhuma za UCHOCHEZ hasa baada ya kutoa habari inaoelezea watu wanaosadikiwa ni wa ikulu kuhusika na utekwaji wa kiongozi wa madaktari ndg ULIMBOKA SILENCE MEANS YES
 
Back
Top Bottom