Iko wapi mikopo ya wafanyakazi serikalini iliyoahidiwa?

kibudibudi

New Member
Jan 31, 2012
2
0
Mwishoni mwa mwaka jana (2011) serikali ilipitisha "sekula" maofisini kuwataka wafanyakazi wa serikali wakope pesa kwa riba nafuu. wengi walijaza fomu za kuomba mikopo hiyo lakini mpaka sasa kimya, naitaka serikali itamke kama itawapa wafanyakazi mikopo hiyo na ni lini.kama wanasubiri uchaguzi 2015 ukaribie vilievile waseme.
 
nilisikia kuna mwanasiasa alisema kuwa hahitaji kura zenu.
Ni kweli?
 
Mwishoni mwa mwaka jana (2011) serikali ilipitisha "sekula" maofisini kuwataka wafanyakazi wa serikali wakope pesa kwa riba nafuu. wengi walijaza fomu za kuomba mikopo hiyo lakini mpaka sasa kimya, naitaka serikali itamke kama itawapa wafanyakazi mikopo hiyo na ni lini.kama wanasubiri uchaguzi 2015 ukaribie vilievile waseme.

Watu washapewa, tena hadi wafagizi! acha uzushi

MKOPO NI HIARI SIO LAZIMA KUCHUKUA KAMA HUHITAJI
 
Kuwa mvumilivu kaka
wenzio walijikopesha ubunge kwanza sasa maraisi...so ule mkopo ulikuwa jina yaani ukiona sehemu ya kupiga jikopeshe mwenyewe with no riba
else
jitayarishe mahakamani
 
Wewe unazungumzia mikopo wakati mishahara tu yenyewe mbinde...au hujui kuwa serikali imefirisika...
 
Back
Top Bottom