Iko wapi ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya 2010.

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
3,804
1,871
Napenda kuanza kwa kwa kunukuu moja ya semi muhimu sana katika utangulizi wa Ilani ya CHADEMA. "Ni wakati wa mabadiliko, na fursa ya kufanya mabadiliko ni huu uchaguzi wa 2010 na siyo 2015."

Kama maneno haya ni sahihi basi CHADEMA imekosa kabisa nafasi ya uraisi mwaka 2015, kwa sababu ilishasema kuwa uchaguzi wa 2015 si wa kufanya mabadiliko ispokuwa mwaka muafaka kutokana na maneno ya CHADEMA ni 2010.

Kifupi maelezo yanatafsiriwa kama vile CHADEMA ILIJITABIRIA KIFO BAADA YA UCHAGUZI WA 2010, kitu ambacho ni kweli. Kuna vitu vitatu vinavyodhibitisha kifo cha CDM, NAYO NI KAMA YAFUATAVYO:

  • Wabunge wake kupayuka ovyo katika bunge la Bajeti ya muungano, bila kuwa na uwezo wa kuizuia bajeti hiyo. Bajeti hiyo ilipita kirahisi kuliko hata ule wakati wa chama kimoja kulikuwa na mbinde kidogo.
  • Katibu wake kupandishwa kizimbani kwa matatizo ya kifamilia. Na hayo matatizo yalianzia mwaka 2010 wakati wa kampeni za uchaguzi. Sasa kafunguliwa kesi ya madai ya Tsh 500 milioni na 50 milioni. Katika mazingira hayo CDM watapata wapi fedha za kumlipia huyu mwenye matatizo ya familia na zile za uchaguzi.
  • Hakupa suluhu juu ya wagombea urais wa CDM mwaka huu. Hakuna atayekubali kuitwa kijana tena, na Kbwe ndio tegemeo la wengi lakini si la uongozi wajuu wa CDM. Hapa suluhu yake itapatikana mahakamani, je kuna maendeleo yeyote ya CDM hapo.
 
chadema wameishiwa 2015 ndio tamati yao , waende wakale mtori
 
wako hoi, wanaishi kwa kutegemea matukio uwezo wa kuanzisha hoja hawana
 
Back
Top Bottom