Pale katikati ya hips kilichotuna si kitumbua kile!!! Duuuu, kwa kweli wanaume marijali kazi tunayo. Wengine itabidi watuhasi tu. Vinginevyo, suruali zitapasuka. Serikali imelala tu!
Hahahahahahahaaaa......kuudadadekiiii...!!
UTALII WA NDANI HUO acheni NONGWA jamani!
.
sawa mkuu lakini umesema wa kizungu kuna tofauti ya zungu na mwafrika so hata mavazi na maadili ni tofauti periodA woman's worth is inherently inside herself and not what people see outside...God given, God created...just like anyone else...mbona zamani kwetu na hata leo lwa wengine wasichana hatukufunika the upper part...were we less or are we less human just because our sense of shame is not on covering bodies but rather those shameful actions that destroy relationships in the community. Mbona wanawake wa kizungu wakati wa summer wanakaa almost uchi and they are respected///acheni prejudice and double standards....WOMEN ARE CREATED IN THE IMAGE AND LIKENESS OF GOD....period!!!!
Hahaha! nakubaliana nawe huo kweli ni utalii wa ndani na bila hiyo kitu gesti,bar na club nyingi zingefungwa lol!Hahahahahahahaaaa......kuudadadekiiii...!!
UTALII WA NDANI HUO acheni NONGWA jamani!
.
A woman's worth is inherently inside herself and not what people see outside...God given, God created...just like anyone else...mbona zamani kwetu na hata leo lwa wengine wasichana hatukufunika the upper part...were we less or are we less human just because our sense of shame is not on covering bodies but rather those shameful actions that destroy relationships in the community. Mbona wanawake wa kizungu wakati wa summer wanakaa almost uchi and they are respected///acheni prejudice and double standards....WOMEN ARE CREATED IN THE IMAGE AND LIKENESS OF GOD....period!!!!
Sasa nyie wote mnaosema eti kuiga, eti sijui nini mbona mnasahau kwamba kabla ya wakoloni kuja kutu'civilize' ilikuwa ni kawaida kwa jamii nyingi za kiafrika kuweka 'vyombo' nje? Acheni double standards na kujifanya 'moral police' kwenye hizi zama za utandawazi. Kwa mtaji huu hamfiki mbali, trust me. Yalimshinda Kawawa itakuja kuwa nyie?
Jamaa lake nalo ***** limekaa tu washenzi watampitia huyo mwanamke wakoWanaJF
Nasapoti sana wanawake ktk harakati zao, wanataka usawa si ndio??
lakini nasikitika sana na ninahofu juu ya wao kama wanatambua thamani yao, au wanataka tu kushindana na wanaume, muone huyu dada anachokionyesha then muangalie mwanaume anachokionyesha!, Seriously u need to change otherwise wimbo utakuwa ule ule!,
Sina ubaya na topic Hii!