Iko wapi haki ya wanyama hapa!!!

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
Kwa muda mrefu nimekua nikikerwa na hii tabia ya kulaumu kama sio kulaani wanyama,sizungumzii binadamu.kua ni wakatili kupita maelezo,utasikia mtu anasema fulani anatabia za kanyama,au unyama alioufanya utadhani simba, chui au mnyama yeyote yule wa porini,haijalishi wa kufugwa au la.binadamu anaukatili isio na mfano kumlinganisha mnyam alieko porini au baharini ni kosa kubwa sana na sio dhambi,simba hawezi kuja mjini au kwenye makazi ya binadamu pasipo kuingiliwa kwani yale ni makazi yake na anakilasababu ya kukudhuru endapo tu utakua umeingia kwenye anga zake.wakowapi watetezi wa haki za wanyama kulifumbia macho na masikio suala hili??navyoelewa mimi kua wanyama ndio wako parfect alakini sio binadamu.tuche ukatili kwa wanyama jamani na kuwalinganisha na kila baya alifanyalo binadamu.ni mtazamo wangu tu.
 
:nerd:Duh! waambie timu ya SIMBA nao wasitumie hilo jina, wanakiuka haki za wanyama! LoL!:eyebrows:
 
usikute we ni mmoja wa wanaobeba kuku kwenye baiskeli, miguu juu kichwa chini. Hii maneno kamanda unaweza ukajikuta unampigia mbuzi gitaa, maana sikumbuki lini serikali imeshawahi liongelea jambo hili hadharani ingawa kuna sheria mahsusi za kutetea haki za wanyama nchini. Si unaona post 2, 3 za hapo juu zinavyoshangaa hii maneno? Kama ilivyokuwa vigumu kutekeleza sheria nyingine nchini kwetu, ndivyo hili jambo litakavyokuwa vigumu kulishughulikia......we acha tu!
 
Back
Top Bottom