Ikiwa unataka kufurahia mapenzi nenda Mtwara au Lindi.

Nimecheka hadi machozi!
Naona hapa kuna stori nyingi zinaingiliana nie ningeenda kufaidika na conclussions zote,
je kuna tofauti kati ya ngono na mapenzi, sex na love, kupta mpya na kufaidi na kuondoka au kuishi nae kama mke mama wa watoto wako, wa kutoka kabila moja au jingine, wa kutoka mkoa au ukanda mmoja au mwingine, waliosoma au ambao hawajasoma, wanaoishi vijijini au mijini, walioenda unyago au ambao hawajaenda wenye kuitegemea kiuchumi au tegemezi
 
duu siku hizi hata kabila lile linalojulikana zembe kwenye mahaba limeibuka na kuwa mstari wa mbele, mahaba ni kujifunza tu hamna cha kabila wala nn
yap, mapenzi kujifunza na kuwa mbunifu.
 
Back
Top Bottom