Ikitokea...

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,063
79,089
Hivi ikitokea Filikunjombe, Nassari na Mdee walisema Zitto anafaa kuwa Rais/ni Rais ajaye; nini mustakabli wao katika siasa? na credibility ya hawa wanasiasa itakuwa vp? na popularity ya Zitto itakuwa vp? yangu mie masikio na macho kusubiria hizo tapes zenye ushaidi wa record zao!
 
Hao uliowataja hawawezi kusema hivyo kwa vile mhusika hana sifa za kuwa rais. Tujitahidi kuepuka cheap popularists. Kwanini hatukujifunza kwa Kikwete ambaye aliingia kwa njia hii? Zitto ana ambition ya kuwa rais lakini hana credibility. Ni mkabila kwa vile ameshindwa kuwakemea watu wake kama vile Kafulila wanaosema lazima rais atoke Kigoma. Ameshindwa hata kukishauri chama chake kiachane na wafadhili kama Sabodo. Ameshindwa hata kuoa!
 
Hivi ikitokea Filikunjombe, Nassari na Mdee walisema Zitto anafaa kuwa Rais/ni Rais ajaye; credibility ya hawa wanasiasa itakuwa vp? na popularity ya Zitto itakuwa vp? yangu mie masikio na macho kusubiria hizo tapes zenye ushaidi wa record zao!

Kaka unapenda kutukanwa? Subiri waje wenyewe uone moto wake maana hawatakubali ukweli mimi niko kimya subiri kidogo wanakuja
 
wabongo tunamatatizo,wakisema!kwani wakisema lzm iwe!?...by the way zitto haeleweki,msaliti so ni ngum sn
 
wanatumia majina mengi sana nia yao ni kujifanya wasemaji kama wanachama wa chadema sasa muwaangalie wanapozidiwa singida na sumbawanga wanjifariji kwa kuwasema akina zito lema slaa lissu lakini ni haohao wanaotumia majina tofauti muwaogope kama ukoma ni bora warudi lumumba wakaombe posho upya
 
Back
Top Bottom