Ikitokea ukamfumania mpenzi wako kitandani akiwa na mwingine ni cha kwanza utasema?

Dah me ntawaambia mume wng avae twende. Nkifika namuekea maji aoge,namtole nguo avae then nampikia msosi wa ngùvu kama hakuna kilichotokea mwenyewe nafsi itamsuta
 
Ooh My God!
Jesus!
Yesu na maria
WTF!
I knew it!
hahahaha (unacheka umepata kisingizo cha kuachana)
Its over
we need to talk!
I love u hahahahaha(ya kinafki)
Awussubillahi!!!
Mmhh(utaghuna)
lol

cha kwanza nitakachosema ni PANGA LANGU LIKO WAPI :biggrin1:
 
Ningeangua kicheko, nimuambie yaani ujanja wote huo ndo umeishia hapa? Kweli niliingia chaka. Na kupotea eneo la tukio.
 
ishawahi kunitokea. ila nilishuhudia via dirishani. nikaenda kuwasubiri mlangoni wafungue. walibishana mwisho wakafungua, kabla hawajafungua nilikwenda dukan nikanunua nyembe mbili, nikajiapiza kumchana chana yule mdada but alivotoka nikamwonea huruma kwan kilikuwa kitoto cha form 4. kiliondoka nami nikaingia kwa bf wangu nikabeba vikorokoro vyangu kimya kimya nikaenda kwangu.badae nikaenda kwa dada wiki nzima bila kuaga hapo kwangu na alikuwa hapafahamu kwa dada, baada ya wìk ali-apologise tukarudiana
 
Nitamwambia Njemba anipe tathmini yake kuhusu Pafomansi ya Waifu kunako kwa Bedi..
 
ishawahi kunitokea. ila nilishuhudia via dirishani. nikaenda kuwasubiri mlangoni wafungue. walibishana mwisho wakafungua, kabla hawajafungua nilikwenda dukan nikanunua nyembe mbili, nikajiapiza kumchana chana yule mdada but alivotoka nikamwonea huruma kwan kilikuwa kitoto cha form 4. kiliondoka nami nikaingia kwa bf wangu nikabeba vikorokoro vyangu kimya kimya nikaenda kwangu.badae nikaenda kwa dada wiki nzima bila kuaga hapo kwangu na alikuwa hapafahamu kwa dada, baada ya wìk ali-apologise tukarudiana
mi hapo hakuna kurudiana,ni kuachana mazima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom