Ikitokea ukamfumania mpenzi wako kitandani akiwa na mwingine ni cha kwanza utasema?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Ooh My God!
Jesus!
Yesu na maria
WTF!
I knew it!
hahahaha (unacheka umepata kisingizo cha kuachana)
Its over
we need to talk!
I love u hahahahaha(ya kinafki)
Awussubillahi!!!
Mmhh(utaghuna)
lol
 
Mkuu when happen that circumstance gentles are vary in the action taken!
Mf. Mimi hapo sitochukua maamuzi ya violence , coz utaua and then you will face twins injury!
Umemegewa with life sentence!
Hapo mimi ndo itakua last of the game na huyo mke.
Kwani hata uki forgive it's nothin! Waganda wana semi moja inasema "mwanamke na mwanaume waliokwisha kulana ujanani, hata wapoteane miaka kadhaa penzi lao hua haliishi hata kama wakikutana utu uzimani na kila mmoja yuko kwa couple yake, uwezekano wa kuvuana chupi upo tu"
 
Mkuu hata mi hapo sitasema lolote kwanza,nitanyamaza tena kuhusu jamaa wa watu ndo sintamsemesha,jioni itabidi nilewe kesho naanza tu mipango ya kuachana.
Ila hapo kwa walioonjana ni kweli aisee,kuachana ni ngumu sana,halafu si unajua ex hatongozwi unamwelezea tu
 
ilinikuta hii, niliishia kusema " oo sorry i disturbed" sikumbuki kurudi hapo mahala!!!
 
yani kirahisi hivo?

weee Excellent , hiyo kitu inauma na inachanganya vibaya sana!!! kuna reaction nyingi sana! na huwezi kupanga reaction endapo umefumania bila kuambiwa (kuna yale mafumanizi unaambiwa kabisa mkuu twende ukaone mali yako inaliwa ile unaweza kubeba panga.....)
 
Last edited by a moderator:
weee Excellent , hiyo kitu inauma na inachanganya vibaya sana!!! kuna reaction nyingi sana! na huwezi kupanga reaction endapo umefumania bila kuambiwa (kuna yale mafumanizi unaambiwa kabisa mkuu twende ukaone mali yako inaliwa ile unaweza kubeba panga.....)

mi nikiambiwa mali yako inaliwa kweli siendi,sitaki nione kinachoendelea,labda anipe tu fidia halafu nimtimue mke
 
Hwakukosea babu zetu waliokuwa wakitanguliza bakora
nyumbani kuepusha mambo kama haya,unaweza kuua
au kufa wewe kwa mshituko wa moyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom