Ikitokea kwako utafanyaje?

Unathubutu kuandika haya hapa mama? Dah!

Haya wakati unafanya huo uhuni, ndoa yako ilikuwa na umri gani?

hiv inakuwaje MUME ataka kusawazisha hali ya hewa na kurejesha mapenzi afu anagundua mkewe mpendwa kapopolewa( had side B)na huyo'rafiki yake wa kiume'... si ndo mwanzo wa kutenganishana vichwa na viwiliwili au...!!?!
 
Kwani mumeo/mkeo atajua??? nani kamwambia??? na kwa nini usitake kumona??? hukufurahia tendo??? koz kama umemega na kuinjoy obvious utataka tena.....Mwonja asali haonji mara moja......
 
kwan gaijin hujawahi kuwa na rafiki wa jinsia tofauti b4 marriage na je kama alikuwa after marriage urafiki ulikufa?

Mom! nikishakuoa, urafiki wa before marriage unakufa.. Labda uwe wa kiwiziwizi.. Na matokeo yake ndio hayo.. KUMEGWA kwa ridhaa yako... na baadae majuto huja baadae..
 
hiv inakuwaje MUME ataka kusawazisha hali ya hewa na kurejesha mapenzi afu anagundua mkewe mpendwa kapopolewa( had side B)na huyo'rafiki yake wa kiume'... si ndo mwanzo wa kutenganishana vichwa na viwiliwili au...!!?!

:frusty:
 
FL1 cjui nikujibu nn, lakini ni kitu hua haiko planned, unajikuta imehsatokea tu umedo na unajuta labda ikitokea kwako utaelewa!
ni lazima ukubali kwamba mlikuwa na hisia za kutamaniana kichwani mwenu kabla hiyo the so called "unplanned scenario", kale kamchezo ka baba na mama ni tabu kutokezea bila saikolojia yako kuwa positive toward your partner. usishangae hata hiyo migogoro ya ndoa uliianzisha baada ya kuwa na hisia na hiyo njemba "rafiki" yako.
 
At least leo mzee umekuwa na maadili. No of topic............Straight to the point. Hebu jigongee mwenyewe hapo.
 
hehehe nafanya mapractice , kuna kijiji wanataka kunipa kazi la ushauri nasaha wa ndoa zao.
huyu "mom" anazunguka tu kujipa moyo, lakini ukweli uko ndani ya post yake. nitamPM baadae kumpa njia mbadala.
 
eh! umesemaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom