Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,316
- 33,125
Manjano Inasaidia Sana Kwa Uwezo wake Mwenyeezi Mungu.
Matumizi yake Manjano.
1 Ukijikata Kwa Kisu au Jiwe au Jiti Chukuwa Manjano Kavu Saga Kwenye Jiwe Pamoja Na Chumvi Pakaa Itasimama Kutoka Damu Na Usiitowe mpaka kidonda kipone.
2 Dawa Ya kutibu Kuwashwa Na Roho Kwa ajili Ya Fluu Chukuwa Manjano Mbichi Saga Changanya Na Asali Kiasi Cha Kikombe Cha Kahawa Na Kula Kijiko Cha Chai Kimoja Kabla Ya Kulala Na Unapoamka Asubuhi Na Ishallah Utapona.
3.kukohowa Na Kubanwa Kifuwa Chukuwa Maziwa Fresh Glasi Moja Chemsha Halafu Tia Ndani Ya Glasi Vunja Yai La Kuku wa kienyeji Koroga Na Maziwa Halafu Uongeza Kijiko Cha Manjano ya unga koroga na badae kunywa kila siku glasi moja Asubuhi Ishallah Utapona
4 Mwenye Uvimbe katika mwili Saga Manjano Mbichi Na Chumvi Pakaa Kwenje Uvimbe Ishallah Utapona.
Tumia hii Manjano kisha nipe Feedback.