Ijumaa.

Sweetlady na Ndechumia, Leo mtaenda Maisha Club?
 
Vivian, signature yako imenigusa kweli, lol

'The advantage of being smart is u can easily pretend you are stupid. The opposite is much hard to pretend'
 
Vivian, signature yako imenigusa kweli, lol

'The advantage of being smart is u can easily pretend you are stupid. The opposite is much hard to pretend'

Hebu eleza kiundani zaidi.

Tia nyama kidogo.

Utaenda njia ya msalaba leo?
 
Nitaenda St. Peter
Ntakaa benchi la kwanza mbele kabisa

poa. mimi pia huwa nakaa kiti cha pili kutoka kwenye altare ili nipate sehemu ya kupigia magoti. si unajua ni magoti kwa sana.
 
Lol Vivian nimekumbuka ndo nkikawa nataka kuondoka ila nikaamua kupitia kidogo ChitChat ndo nimekutana na Thread yako
Dah uko safi....Twende zetu....

niko hapa Nje nakusubiri. usisahau Rosary
 
Back
Top Bottom