Ijumaa ndo hiyoooo. natafuta mwana jf msafi kwa ajili ya wikiendi hii...siriazi!

Jamani jamani akina dada nisetirini mwenzenu upweke huu.
Natafuta mwana jf msafi wa ukweli kwa ajili ya wikiend hii. Garama kila kitu kwangu na nakuhakikishia hautaboreka. Utakula na kudeka kwa kiwango utakacho.

Tafadhali tafadhali, nawasubirini kwa hamu kubwa.

Wewe kweli hufai.
 
hah ha ha ha ha, umakini ktk mapenzi ya sha sha ni upi? ni ujamii forum au ? nadhani kama unahitaji mtu makini, ni yule anayekuvutia kimwili. Nenda pale Africasana kuanzia saa 4 usiku. wote wanavutia ingawaje ni uzuri wa kununua na vipodoz. Wajamii Forum watakupa taabu. ikifika usiku muda wa mchezo, watakuambia tujiunge jamii Forum kidoga basi tupate news. Utaishia Jamii Forum kama ulivyoanzia Jamii Forum.
 
najua jinsi ya kuwafiksi hawa wana jf
 
mwenzio ashakula bingo. hawezi kukwambia ukweli maana anajua unaweza ukampiku. nyie wanawake hamuaminiani
Kama upo Arusha nitakua babilon na friends of mine baadae mida ya saa mbili njoo nikusababishie mpaka ukimbie..
 
UKIWA NA MWANAUME HUYU JUA UNAPOTEZA MDA WAKO.....
1.kukutana anataka kukupapasapapasaa tu hakujui humjui)jua hicho ni kimeo)
2.anakupigia simu eti nikufate home twende tukalale..(aliyekuambia ninausingizi nani)
3.anapenda sifa kuliko muonekano wake na sifa zake ni vitu viwili tofauti...
4.ukiwa uko nae anapenda kupigia simu watu na kuongea kwa nguvu sana nipoo na demu wangu hapa tunakula beer(jua anakutangazaa huyooo watu waje wakuchore unatembea na kimeo
Smile,kwa ma analysis we kiboko,karibu double tree hilton tule mikuku na kufakamia mihenken kwa fujo.
Ps: pssssssss konnie usimwambie!
 
usinidharau. sasa mi nitakuwepo pale ghwanzou leo jioni afu baada ya hapo klabu.. kama vipi we ibuka tusaidiane kupunguza hiki kipato

Ndo tatizo lenu vijana wa High learning mkipata boom mara hooo mara heee.Subiri week tatu zipite mara kwa binamu,mjomba kuomba omba.Soma kijana Smile haumwezi yeye anapiga mzigo tene kitengo cha mapesa.Kwa ushauri wa bure omba namba zake ukiwa boom limekata akusaidie.
 
UKIWA NA MWANAUME HUYU JUA UNAPOTEZA MDA WAKO.....
1.kukutana anataka kukupapasapapasaa tu hakujui humjui)jua hicho ni kimeo)
2.anakupigia simu eti nikufate home twende tukalale..(aliyekuambia ninausingizi nani)
3.anapenda sifa kuliko muonekano wake na sifa zake ni vitu viwili tofauti...
4.ukiwa uko nae anapenda kupigia simu watu na kuongea kwa nguvu sana nipoo na demu wangu hapa tunakula beer(jua anakutangazaa huyooo watu waje wakuchore unatembea na kimeo
kaka nadhan ujumbe umekufikiaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom