Ijumaa ndo hiyoooo. natafuta mwana jf msafi kwa ajili ya wikiendi hii...siriazi!

kama upo siriaz sema, usifanye mzaha. Sasa nitakutumia kwa njia gan. Kwani humu kuna njia ya kutuma humu jf
fanya hivi nunua vocha za elfu kumi za tigo nitumie no za vochwa kwa pm fasta simu yangu bila salio la laki haibipu hata,ili tupange tukutane wapi,utaniinjoy sana tu
 
Aise!! Hizo pesa unazojivunia si ungeikopesha hata serikali ijenge fly-over pale ubungo na Tazara tupunguze foleni Dar..
 
fanya hivi nunua vocha za elfu kumi za tigo nitumie no za vochwa kwa pm fasta simu yangu bila salio la laki haibipu hata,ili tupange tukutane wapi,utaniinjoy sana tu
naweza kutuma mpesa, tigopesa, zpesa au airtel money. vinginevyo nikupunguzie salio strait. mi huwa natumia post paid mambo ya mavocha sijayazoea na siyajui utaratibu wake
 
Aise!! Hizo pesa unazojivunia si ungeikopesha hata serikali ijenge fly-over pale ubungo na Tazara tupunguze foleni Dar..
Hayo nimajukumu ya serikali. siwezi kufanya majukum ya serikali itakuwa naidekeza.
 
Smile umetumiwa nini hako kalaki, mbona umepotea katika mazingira fulani ambayo hayaelewiki,lol!!
 
naweza kutuma mpesa, tigopesa, zpesa au airtel money. Vinginevyo nikupunguzie salio strait. Mi huwa natumia post paid mambo ya mavocha sijayazoea na siyajui utaratibu wake
we kimeo tu mwanaume mwenye hela huwa ajibishani na mwanamke hata siku moja.maana kama una hela kweli sio lazima ukwangue vocha wewe si unamtuma ata mpambe? Wewe ni wale wale oooh card ya benk imemezwa na atm machine kwenda huko
 
usinidharau. sasa mi nitakuwepo pale ghwanzou leo jioni afu baada ya hapo klabu.. kama vipi we ibuka tusaidiane kupunguza hiki kipato
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom