Ijumaa ndo hiyoooo. natafuta mwana jf msafi kwa ajili ya wikiendi hii...siriazi!

Mkeshaji

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,262
1,416
Jamani jamani akina dada nisetirini mwenzenu upweke huu.
Natafuta mwana jf msafi wa ukweli kwa ajili ya wikiend hii. Garama kila kitu kwangu na nakuhakikishia hautaboreka. Utakula na kudeka kwa kiwango utakacho.

Tafadhali tafadhali, nawasubirini kwa hamu kubwa.
 
Kwa nini usirahisishe kazi tu na kwenda ku-fish pale Joly Night Club?
najua wana jf ni watu makini. kwa hiyo akina dada watasikia kilio changu.
nataka mtu standard ambaye hata ukikaa naye sehemu unajua kuwa kweli nimekaa na kifaa.
 
UKIWA NA MWANAUME HUYU JUA UNAPOTEZA MDA WAKO.....
1.kukutana anataka kukupapasapapasaa tu hakujui humjui)jua hicho ni kimeo)
2.anakupigia simu eti nikufate home twende tukalale..(aliyekuambia ninausingizi nani)
3.anapenda sifa kuliko muonekano wake na sifa zake ni vitu viwili tofauti...
4.ukiwa uko nae anapenda kupigia simu watu na kuongea kwa nguvu sana nipoo na demu wangu hapa tunakula beer(jua anakutangazaa huyooo watu waje wakuchore unatembea na kimeo
 
Jamani jamani akina dada nisetirini mwenzenu upweke huu.
Natafuta mwana jf msafi wa ukweli kwa ajili ya wikiend hii. Garama kila kitu kwangu na nakuhakikishia hautaboreka. Utakula na kudeka kwa kiwango utakacho.

Tafadhali tafadhali, nawasubirini kwa hamu kubwa.

Uliposema "siriazi",nikadhani umeweka na Cellular No yako,sehemu unazopendelea na aina ya vinywaji,na vitafunwa unavyotumia kwenye mtoko.. Kumbe ....

Bora uzi wako waupeleke chit chat...
Mods kazi inawazidia naona...
 
mbona wameshaanza kuja huku pm
 
UKIWA NA MWANAUME HUYU JUA UNAPOTEZA MDA WAKO.....
1.kukutana anataka kukupapasapapasaa tu hakujui humjui)jua hicho ni kimeo)
2.anakupigia simu eti nikufate home twende tukalale..(aliyekuambia ninausingizi nani)
3.anapenda sifa kuliko muonekano wake na sifa zake ni vitu viwili tofauti...
4.ukiwa uko nae anapenda kupigia simu watu na kuongea kwa nguvu sana nipoo na demu wangu hapa tunakula beer(jua anakutangazaa huyooo watu waje wakuchore unatembea na kimeo
Amini nakwambia ukija kwangu hutaboreka na utaenjoy sana.
 
UKIWA NA MWANAUME HUYU JUA UNAPOTEZA MDA WAKO.....
1.kukutana anataka kukupapasapapasaa tu hakujui humjui)jua hicho ni kimeo)
2.anakupigia simu eti nikufate home twende tukalale..(aliyekuambia ninausingizi nani)
3.anapenda sifa kuliko muonekano wake na sifa zake ni vitu viwili tofauti...
4.ukiwa uko nae anapenda kupigia simu watu na kuongea kwa nguvu sana nipoo na demu wangu hapa tunakula beer(jua anakutangazaa huyooo watu waje wakuchore unatembea na kimeo
Smile mbona kama unama"experience hivyo. Yashakukuta hayo nini lv.
 
Jamani jamani akina dada nisetirini mwenzenu upweke huu.
Natafuta mwana jf msafi wa ukweli kwa ajili ya wikiend hii. Garama kila kitu kwangu na nakuhakikishia hautaboreka. Utakula na kudeka kwa kiwango utakacho.

Tafadhali tafadhali, nawasubirini kwa hamu kubwa.

shetani at work
 
acha tu my love dunia hii .ngoja nimsome huyu cameruni kwanza

Hana lolote huyu, ni walewale, pengine hata bill ni wewe atakutegemea ulipe, utasikia cjui atm card imemezwa, cjui nini, lol!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom