Ijumaa, Je ni kweli Siku ya Shetani?

Kumbuka pia Yesu mwana wa mungu aliteswa siku ya Friday.....hii siku nuksi nini!!

Why Friday.

1. Watu wanatoroka kazini mapema
2. Watu wanatumia pesa nyingi kwa mambo ya anasa
3. Watu wengi wanarudi majumbani kwao the next day - yaani kuanzia saa sita na dk 1 onwards.....
4. Memo nyingi za warning au kufukuzwa kazi zinatolewa Friday
5. Watu wengi wanaambukiwa ukimwi siku ya Friday
6. Madeni mengi hayalipwi Friday

7. Simu nyingi za viganjani zinafugwa siku ya Friday jioni - tusitafutane
8. Nguruwe wengi wanakata roho siku ya Friday
9. Machangu wengi wanapata pesa siku ya Friday
10. Watu wengi wanaibiwa siku ya Friday, hasa pesa, laptops nk

Umesahau na kipenzi cha wengi,Suicide Bombing!Leo watu wameua LAHORE Pakistan,baada ya swala
 
Umesahau na kipenzi cha wengi,Suicide Bombing!Leo watu wameua LAHORE Pakistan,baada ya swala
huko ndio mlipokuwa mnaelekea lakini mmetaka kujificha ficha,hoja nzima ilikuwa inawalenga waislamu siku yao ya kuabudu.

acheni ubaguzi wa dini na kuingilia mambo yasio wahusu.nchi yetu waislamu kwa wakristo wanapenda kwanini mtu uwalinganishe waislamu wote duniani kutoka na visa vya waarabu na westerns?
 
Mwenyezi Mungu S.W.T. atawaozesha wanaume wa Peponi wanawake wengine wazuri sana wanaojulikana kwa jina la Mahurulaeni mbali na wake wao waliokuwa nao hapa duniani. Na maana ya Hurulaeni ni mwanamke kijana mzuri wa kupendeza mweupe sana na mwenye macho meusi. Mwenyezi Mungu S.W.T. kasema katika Suratil Dukhaan aya ya 54, "

]كَذَلِكَ وَزَوَّجْنَاهُمْ بِحُورٍ عِينٍ[
 
siku zote ni za kumtukuza Mungu - ila unapofanya dhambi - wewe ndio unabaki na mzigo wako - siku zote tumepewa tufanye kazi na Mungu abariki kazi za mikono yetu - na siku moja kati ya 7 iwe sabato (ya kumtukuza Mungu na kupumzika miguuni pake)
 
Mwenyezi Mungu S.W.T. atawaozesha wanaume wa Peponi wanawake wengine wazuri sana wanaojulikana kwa jina la Mahurulaeni mbali na wake wao waliokuwa nao hapa duniani. Na maana ya Hurulaeni ni mwanamke kijana mzuri wa kupendeza mweupe sana na mwenye macho meusi. Mwenyezi Mungu S.W.T. kasema katika Suratil Dukhaan aya ya 54, "

]كَذَلِكَ وَزَوَّجْنَاهُمْ بِحُورٍ عِينٍ[

Aisee sijakuelewa kabisa lengo ni nini hasa hadi umeweka hiyo aya hapo Kiranja mkuu?
 
Uamuzi wa iwe siku ya shetani au ya Mungu wote unao wewe,ukiamua hata krismas au eid zaweza kuwa siku za shetani yategemea na matendo yako!!
 
huko ndio mlipokuwa mnaelekea lakini mmetaka kujificha ficha,hoja nzima ilikuwa inawalenga waislamu siku yao ya kuabudu.

acheni ubaguzi wa dini na kuingilia mambo yasio wahusu.nchi yetu waislamu kwa wakristo wanapenda kwanini mtu uwalinganishe waislamu wote duniani kutoka na visa vya waarabu na westerns?

Labda angalia El Nino post zake utajua anataka nini
 
Mwenyezi Mungu S.W.T. atawaozesha wanaume wa Peponi wanawake wengine wazuri sana wanaojulikana kwa jina la Mahurulaeni mbali na wake wao waliokuwa nao hapa duniani. Na maana ya Hurulaeni ni mwanamke kijana mzuri wa kupendeza mweupe sana na mwenye macho meusi. Mwenyezi Mungu S.W.T. kasema katika Suratil Dukhaan aya ya 54, “

]كَذَلِكَ وَزَوَّجْنَاهُمْ بِحُورٍ عِينٍ[

Duh! kweli?
 
Nasikia ljumaa ni siku ya misosi, mitungi na mikasi.
Misosi ni vyakula vya anasa, mitungi ni pombe na mikasi ni ngono.
Vitu hivi ni vya shetani.
Je siku hii ya ljumaa ni siku maalum ya kumtukuza shetani na mambo yake?
siyo siku ya shetani,shetani hana siku.
 
kumbuka pia yesu mwana wa mungu aliteswa siku ya friday.....hii siku nuksi nini!!

Why friday.

1. Watu wanatoroka kazini mapema
2. Watu wanatumia pesa nyingi kwa mambo ya anasa
3. Watu wengi wanarudi majumbani kwao the next day - yaani kuanzia saa sita na dk 1 onwards.....
4. Memo nyingi za warning au kufukuzwa kazi zinatolewa friday
5. Watu wengi wanaambukiwa ukimwi siku ya friday
6. Madeni mengi hayalipwi friday
7. Simu nyingi za viganjani zinafugwa siku ya friday jioni - tusitafutane
8. Nguruwe wengi wanakata roho siku ya friday
9. Machangu wengi wanapata pesa siku ya friday
10. Watu wengi wanaibiwa siku ya friday, hasa pesa, laptops nk
usisahau pia ibada,swala, mawaidha ya dini kwa waislamu hutolewa friday
 
huko ndio mlipokuwa mnaelekea lakini mmetaka kujificha ficha,hoja nzima ilikuwa inawalenga waislamu siku yao ya kuabudu.

acheni ubaguzi wa dini na kuingilia mambo yasio wahusu.nchi yetu waislamu kwa wakristo wanapenda kwanini mtu uwalinganishe waislamu wote duniani kutoka na visa vya waarabu na westerns?

Suicide bomber akijilipua hata western huko unaposema,hajali kama wewe ni mwafrika,mtanzania you are nothing to do with the so called western.
Get real ,brother!
-Kipenzi chako Osama Bin Laden,alipolipua Nairobi na Dar Es Salaam ,majority walioua ni wenzetu waafrika!Logistics alipewa na watanzania kama Mr Ghailani
 
Mkuu ni kwa vile week end huanza ijumaa jioni....

Unajua uzunguni huwa hakuna kazi jmosi na jpili...kwa hiyo ifikapo ijumaa watu hujiandaa namna watakavyotumia weekend zao..nakumbuka tukiwa form five...mwalimu mmoja wa kimarekani alikuwa akisema kila friday morning...thanks god, today is friday....

Nnachokiona ni kuwa utandawazi umetuletea utamaduni huu wa kizungu wa sherehe kuanza friday...kumbuka wakati wa ujamaa, jmosi ilikuwa ni siku ya kazi..hakukuwa na haya mambo...kwa vile jmosi watu wangetakiwa kwenda kazini...huwezi kwenda na hangover yako siyo? kwa hiyo ijumaa haikuwa siku ya kuanza sherehe za weekend....

anyway, tumekubali utandawazi..tukubali na athari zake...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom