Ijue Yanga ya Manji Katika picha

muuza ngada tu huyo hana lolote,ngoja uone kama wakina bahamuzi hawajabebeshwa ngada,hiyo gari ya bi 1 ndo inacheza nn,ndo maana mi nasemaga ukiwa yanga lazima mwisho wa cku utakuwa mwanga tu,ufahari wa kijinga jingaaaaa

heri wabebe ngada kuliko waje wauliwe na rambirami iliwe na alshababu mwenyekiti rage kama mlivofanya kwa mafisango
 
Natangaza kujiunga rasmi Azama............... Yanga basi. KIJANI NA NJANO, i hate it nowadays.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom