Ijue mitego 3 ya kichawi

H
Ulikosa jina la kutolea mfano mpaka ukatumia ALLY? umeniudhi sana leo!!!!
Ha ha ha hakukosa ndiyo maana katumia jina la Ally, au ulitaka atumie jina gani jaim? Hili katika Mawazo ya watu pole, ila usiogope Sana uchawi kuliko unavomtii Mungu, umenichekesha Sana, unajua baadhi ya watu ukiwasimulia habari za kutisha huwa wanaoogopa. Wengine hawawezi kulala peke yao siku hiyo, kwa wanawake Ni hatari tupu Kama yupo single, yupo tayari kulala Na mtu yeyote. Sasa sikiliza joto la asbuhi kesho E. FM usikie kisa cha mtaa, wanamtaa wanadai huko Kuna bibi kigagula, Kuna mtu kaingia kwake kudai pesa take mpaka Leo hajatoka, kwa wameshapika orobaini Na hitima. Mshukuru Mungu kuwa mpka Leo unaishi Dunia Ina vikwazo vingi, wachawi, majambazi, ajali za magari (bodaboda) ukimwi huko Tabora na kigoma kukwepana na nyoka hatari koboko.
 
Nami nina hamu ya kujua wanaonisumbua usiku kwa macho ili niwape makavu.Ila nasikia ukishawaona lazima wahakikishe unakufa maana wanaogopa utatoa siri zao ni kweli Mzizi Mkavu?
Ndio wakigunduwa Wachawi umewaona watakupiga vita ufe ili usije kutowa siri zao ni kweli kabisa.
 
MziziMkavu nikiwa mdogo nilikua nikipita njia panda asbuh nakuta kuna vitu vimemwagwa na labda dawa imechemshwa au nazi inevunjwa pale some times unakuta na pesa like shilingishilingi (kwa wakati huo) so hayo huwa ndo makafara au?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom