Ijue MAT(Medical Association of Tanzania)-mtetezi wa madaktari Tanzania

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
chama hiki kimeibuka kama mtetezi thabiti wa haki za madaktari ni vyema basi kwa yule anayekifahamu kwa undani atujuze!
baada ya kugoogle search nimeibuka na taarifa kidogo kuhusu MAT

MAT is legal entity with the objectives of;

Promoting the medical and allied sciences in Tanzania. Maintaining the honour and interests of the medical professions and upholding a high standard of medical ethics and conduct among its members.

MAT acts as representative body of the medical profession in Tanzania, liaising with and advising the Government on health and medical matters.

MAT maintains and safeguards the interests privileges and welfare of its members.
 
Ahsante Meningitis kwa kutukumbusha na kuwaelimisha wengine!
 
mwenyekiti wa MAT dr mkopi yupo humu?kimsingi hiki chama kinaweza kusimama kama CWT,nilichokiona TUGHE ilikuwa imewatekeleza madaktari na watumishi wengine wa afya.TUGHE imekuwa weak sana ndio maana tunaona vyama kama MAT,TANA,TALGWU vinapata nguvu.nadhani wakati umefika wa MAT kufikiria kujitoa tughe kwa sababu interests za watumishi wa serikali kuu zinaweza kutofautiana sana na mambo ya afya.
 
Kuna waziri mmoja alidai hiki ni chama cha hiari...ilionyesha jinsi gani upuuzi umejaa vichwani mwa wanasiasa wa tanzania
 
MAT ipo mbioni kusajiliwa as a trade union so tughe soon tutaachana nao

Dr. Chichi naomba nikusahihishe kidogo mkuu, MAT ni profession association hatuwezi kuisajili as a ttrade union, ila tumeunda a trade union ambayo itawajumuisha Madaktari, meaning dental and MDs and above, wafamasia, na tayari katiba yake tuitengeneza i was one of the task force tuliyoiunda wakati wa mkutano wa MAT Mwanza na hadi sasa katiba ipo tayari na tumeshaiwasilisha kwa msajili wa vyama vya wafanyakazi, so very soon tutakuwa na trade union na wote tutatoka TUGHE, TALGWU, etc,
 
nadhani ni muda muafaka kwa madaktari kuipa mkono wa kwa heri TUGHE kwa sababu imeonekana haijali maslahi ya madaktari na wahudumu wa afya kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom