II==Kuwadi wa Fisadi ==>

Hivi mnafikiri bila ufisadi Tanzania ingekuwa hapa ilipo? Umeona majumba Tabata huko (ukiondoa vijumba vilivyobomolewa), au Mikocheni, au kule "ng'ambo" (Kigamboni). Licha ya ubaya wao lakini mafisadi wameijenga nchi na kama kuijenga nchi ni ufisadi basi na miye kuwadi!

asante.

Kama ni ujenzi wa nyumba za nguvu, hata kuzimu imejengwa ile mbaya, tatizo ni moja tu ni makao ya Mashetani na Vibwengo.
Nakushangaa Bi Thumuni kubabaikia Material badala ya Value na Principle.

Makaburu wa Afrika ya Kusini nao waliijenga Johanesburg,(Wazuru waliita Kujoba) au The City of Gold, zaidi ya miji mingi ya Europe lakini ANC hawakubabaika na mafanikio yao kama ninyi waliendeleza moto mpaka kikaeleweka.

Nakushangaa Bi Thumini na sera zenu za kukumbatia vijinga vya moto tu kwa sababu vinapendeza.
 
Darisalama fumbata,Machinga wameenea,
Shida zote wamepata,wamekata na tamaa,
Wabunge wao ni tata,thuredi kuharibia,
Mafisadi twakemea,vibaraka watetea.

Kada wewe Mpinzani,soni msemo mgeni,
Wengine mtandaoni,hata soni hawaoni,
ingia bila utani,utoe yako maoni,
Chukua Chako Mapema,Jambo itakunyoosha.
 
Ebwana kila nibonyeza hapo kwa Henry sipati kitu. Zile zingine zote zinafunguka except Henry...

ukibonyeza ile ya henry player yako inatakiwa kufunguka.. sijui kama watu wengine wanapata tatizo hilo hilo? maana miye nimeajaribu kwa komp nyingine imefunguka...
 
We achana na mambo ya ufisadi bwana, ufisadi ufisadi, watu washachoka, wameshakubali hali halisi sijui wewe unalalamika nini. Mafisadi walikuwepo na wataendelea kuwapo, jifunze kuishi nao. Kwani hao mafisadi siyo watanzania? Tena wenzako siku hizi wakiitwa "fisadi" wanaona kama promosheni ya aina fulani hivi!

Fisadi ni watu kama sisi na wengine ni jamaa zetu na wengine kwa kutumia ufisadi wao wameweza kufanya mambo mengi tu kwa jamii kama kutoa ajira, misaada, mikopo n.k Hivyo siyo mafisadi wote wabaya!

Asante.

Huu wako sio UKIMWI bali UFIBU (Upungufu wa Fikra za Busara Ubongoni).Mbona UKIMWI umekuwepo kwa zaidi ya mwongo mmoja sasa,na tiba haijapatikana,lakini mapambano yanaendelea?Naposoma utetezi wako nashawishika kuamini,ashakum si matusi,kuwa WEWE NI NYUMBA NDOGO ya FISADI flani.Si bure!!!!
 
Hivi mnafikiri bila ufisadi Tanzania ingekuwa hapa ilipo? Umeona majumba Tabata huko (ukiondoa vijumba vilivyobomolewa), au Mikocheni, au kule "ng'ambo" (Kigamboni). Licha ya ubaya wao lakini mafisadi wameijenga nchi na kama kuijenga nchi ni ufisadi basi na miye kuwadi!

asante.

We mdada,kwani hasira za akina Liyumba et al bado tu hazijaisha?
 
CHONDE CHONDE MLLHOI....LUGHA !JAMANI TUNAOSOMA HUMU NI WENGI.....WATOTO,WAZAZI,WAZEE,NK....TUJARIBU KUFICHA UP.....WETU NA SI HEKIMA ZETU...! JUST IMAGINE YOUR MOM...DAD OR YOUR KID AFTER YOU HAVE DONE YOUR WORK(UMEANDIKA HAYO MANENO YAKO) BAHATI UKATOKA KIDOGO HALAFU YEYE AKACHUNGULIA ULICHOANDIKA......ITS SHAME ACTUALLY.......!
BASI TUSIWAFANYIE HIVYO....MOM....DAD...OR KIDS OF OTHERS......LUGHA IPUNGUE UKALI....!
 
Hi mahesabu! With regard to offensive content, can you please single out a post that is out of boundary on this thread? Thank you.
 
Huu wako sio UKIMWI bali UFIBU (Upungufu wa Fikra za Busara Ubongoni).Mbona UKIMWI umekuwepo kwa zaidi ya mwongo mmoja sasa,na tiba haijapatikana,lakini mapambano yanaendelea?Naposoma utetezi wako nashawishika kuamini,ashakum si matusi,kuwa WEWE NI NYUMBA NDOGO ya FISADI flani.Si bure!!!!

COULDNT IT BE THIS ONE PAIN KILA?$
 
kuna mtu aliandika kuwa ufisadi siku hizi imekuwa sifa. lakini mwanakijiji anajitokeza na shairi la kumkumbuka mwalimu wake (akuzingumzia ufissdi) hoja inageuka kuwa ufisadi. hawajali tena hoja ya mwanakijiji kwua anamkumbuka mwalimu wake.
wengine wanakwenda mbali zaidi na kuanza kumjadili wmanakijiji mwenyewe na si hoja aliyoitoa. Inaonekana kuwa watu wanaishia kusoma jina la mchangiaji tu na anapoona ni yule mbaya wake, hata alichoandika hasomi tena. inashangaza kuwa watu wengine wanahoji wka nini mwanakijiji anamshukuru kila mtu unapofanyiwa jambo linalokufurahisha, au jambo jema, unatakiwa kuwa mwoga wa kushukuru?
kama kuna aliyeamua kuwa fisadi, ajue tu moto huu uliowaka hautazimika, youe days are numbered.
tumenyonywa kiasi cha kutosha, tumenyanyaswa kiasi cha kutosha, tumedhalilishwa kiasi cha kutosha. zamu yenu inakuja
 
blah blah blah blah ! mi simo !
 
Back
Top Bottom