Igunga: Sikubali matokeo

heeee, itawezekanaje cuf mwaka jana (juzi tu uchaguzi mkuu) wapate zaidi ya kura 10000 halafu leo kura 2000??

There is a fishy game there between ccm and cuf.

Hapa kura za cuf zimenunuliwa na ccm.

Any way, cdm imepata ushindi hata kama haijapewa jimbo.

Mungu yupo, inshalah tutachukuwa jimbo next time kama tulivyochukua biharamulo.
 
Nimemkumbuka mchungaji Mtikilia aliyesema wakati mmoja upinzani wa kweli utakuwepo pale tu tukiacha kukimbilia katika chaguzi bali kuunga nguvu tukabadili katiba. Kuanzia sasa sitamsiliza mwanasiasa yeyote wa upinzani kama si mapambano ya kubadili katiba. Full stop.
 
safi sana mkuu! tatizo kubwa ni elimu kwa baadhi ya watz,uelewa wa wananchi mdogo sana !

Mkome kutusingizia wananchi kuwa hatuna uelewa. Sisi siku zote tunaelewa na kuchukua hatua sahihi lakini hatusikilizwi!! Hata kama tungeamua nini tusemayo hayapokelewi. waamuzi wa mambo ni wengine. Wafuateni hao muwalalamikie hao!!!
 
Hivi nyie mnaonakili thread nzima halafu mnachangia neno moja mna maana gani? Eti ngoja waje wengine... Mnatusumbua wenye mobile jamani
 
Yapeleke pale KINONDONI MAKAO MAKUU YA CDM
Wewe unachekelea udhalimu unaona ni busara sana.
Kaa tafakari mateso wanayo tumia chama tawala kwa sababu inajua watu wako illitirate (elimu ndogo) ni aibu kwa chama tawala kutumia serikali, na raisi mstaafu na kisha kuambulia kura za vijiji vya ndani(elimu ndogo) tena kwa wizi, tafakari kaka/dada si wakati wa ushabiki huu ni wakati wa haki,ukweli na uwazi.
 
Saidia familia yako ile, ivae, isome, na ilale pazuri mawazo mbonyeo hayatasadia, lawama mlaumu aliyekuleta duniani siasa haikusaidii, ni maneno tu haya hata ukikata mdomo yatabakikatika mawazo
Loo! na wewe ni GREAT THINKER!!!!
 
heeee, itawezekanaje cuf mwaka jana (juzi tu uchaguzi mkuu) wapate zaidi ya kura 10000 halafu leo kura 2000??

There is a fishy game there between ccm and cuf.

Hapa kura za cuf zimenunuliwa na ccm.

Any way, cdm imepata ushindi hata kama haijapewa jimbo.

Mungu yupo, inshalah tutachukuwa jimbo next time kama tulivyochukua biharamulo.

Aisee you must be genious? hilo nalo neno linahitaji tafukuri kwa mgombea wa CUF?
 
Uchaguzi ni wako kukubali matokeo au kukataa...mpaka leo kuna watu hawakubali matokeo akiwemo Slaa..lakini ndio uhuru wenyewe huo
 
Craaaaaaaaaaaaaaaaap ww ni CDM hakuna kitu na uchungu wa kushindwa !
Sioni ajabu maana ukiwa magamba kitu cha kwanza unakuwa mwehu. Tunakuvumilia kwa wehu wako. Maana wewe ulipo tu umeshindwa. Huwezi endesha nchi hii sasa nani aliyeshindwa? Pigo mlilopata Igunga bado litayumbisha chama chenu. Lakini usivyokuwa na akili unakenua meno hapa.
 
You have point!! Lakini tutayapeleka wapi haya malalamiko yako, zaidi ni kuyadocument na kusubiri muda mwafaka ili tuweze kupeana adabu. The whole system in our country is corrupt hivyo kwa sasa kazi moja kubwa ni katiba mama iandikwe upya before the next election.

Kama mkuu wa kaya kalambishwa suti na akapokea unadhani nani kabaki salama?
 
Back
Top Bottom