Igunga OFFICIAL Results: Dr. Kafumu atangazwa mshindi

CCM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Kama kawaida ya ccm wamechakachua mbaya,
nimesikitika sana
 
Dr. Dalali Kafumu ameshinda uchaguzi wa jimbo la Igunga

Live TBC 1
 
Kafumu wa ccm ameshnda kwa kura 26484 na chadema wamepata 23260, cuf 2104
 
Magwanda, baada ya kujuwa kuwa hawana ushindi wamesusa kwenda kusikiliza matokeo, kama kawaida yao ya kususasusa.
hakuna shida!!! kitu kimoja CDM imewaelimisha watanzania "kumbe magamba ni wezi kweli" kumbe hata kwingine hawajawahi kushinda kwa hiyo hata utawala wa mashaka ni haki yao.
 
Magwanda ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.

Hamkubaliki.
 
Hatimaye ule muda muafaka uliokua ukisubiriwa na watanzania wengi umewadia na ccm kimeibuka kidedea ktk uchaguzi mdogo igunga na kuigaragaza vibaya cdm.source tume ya taifa ya uchaguzi igunga-noel mwakalindile
 
Okey wana haki ya kususa. na wanastahili pongezi jaribu kufikiri , wanapambana na ccm, cuf , bakwata na serikali, we kataka akiri yako na elimu yako ya madrasa unategea haki hapo????? acha kufikiri kwa kutumia masaburi .

Unampigia mbuzi gitaa??? Inaelekea humjui FF!!!
 
Back
Top Bottom