Elections 2010 Igunga: Nani ataibuka kidedea kati ya hawa?

KURA YA MAONI: VOTE Online IGUNGA ELECTION

  • Total voters
    93
  • Poll closed .
Sisi waislam tunamatatizo sana tatizo wengi wetu tumeishia darasa la pili kwani uislam ni mavazi au ni jina na matendo ya mtu, kuna mademu wangapi wanaovaa hijabu na tena wameolewa wanakuja kwenye mageto yetu tunawapa mambo, tena ni rahisi kuwapata kuliko hata yule aliyevaa mini

Kwa stahili hi viongozi wetu walioishia darasa la pili wanatufanya waislam kuwa na fikra finyu na maisha magumu,badala wahamasishe mandamano ya kuchangia ujenzi wa mashule, hospitali, vyuo, na kujenga vitega uchumi vingine na kuhamasisha waislam tusome tusikazanie madrasa tu wao wamekalia kulalamika tu kwani mtu akivaa hijabu harafu akafanya uharifu then watu wakamkamata ni dhambi kisa kavaa hijabu?

Kanzu, hijabu ni vazi la kawaida sana mana huko palestina watu wanavaa kama vazi 2 na wanaenda kuiba kwenye mabenki au wanafanyia umalaya,swala ni moyo wa mtu na matendo yake, tusitumia mavazi kufichia uharifu,ndugu zangu waislam tuwakemee hawa viongozi wetu mana hawana akili yoyote ya kuleta maendeleo kwenye jamii yetu ndiyo mana hata sadaka huwa hatutoi mana zinaliwa na masheikh akili ya kufanya maendeleo hawana wamekalia kulalamika tu.

Kwa staili hi wenzetu wakristo wataendelee kuwa juu mana wamesoma na wanamipango mambo ya ajabu ajabu huiwezi kuwaona wanayafanya sijui mandamano ya kulalamika hakuna, tujifunze kwao wanavyojibidisha na kufanya kazi,siyo sisi kulalamika tu na kuwasema ovyo kuwa wao ni makafiri ila mwisho wa siku watoto wetu tunawapeleka kwenye mashule yao kwenda kusoma sisi wenyewe tunaenda kutibiwa kwenye mahospitali yao uwe sheikh usiwe sheikh wote tunakwenda, hii ni aibu tubadilikeni jamani ni aibu sana.

Nimesoma kwenye chuo kimoja maarufu hapa Tanzania masters, kati ya wanafunzi 120, muislam nilikuwa peke yangu the rest ni wakristo, hii ni jinsi gani inavyoonyesha jinsi tulivyonyuma, ukiangalia hata viongozi wao wadini ni watu waliosoma tena elimu kubwa kama PHD yani ni doctors thus why wanauwezo wa kufikiri sana na kuwafanyia watu wao maendeleo.

Tubadilike ndugu zangu,viongozi wangu wa kiislam,tuache kukaa kulalamika na kunywa kahawa tu na kucheza bao wenzetu wakristo wapo mbali sana kimaendeleo sisi tunamaisha magumu hatutaki kujishughurisha angalia maeneo hata tunayokaa yaliyochoka.

Kilagira, Vingunguti, Masenze, mbagala mtongani kwa AZIZ Ally,Temeke, ukienda maeneo kama kawe, ubungo, mbezi, mikocheni, makongo juu, masaki huko utawakuta wakristo tu wakiishi vizuri, ukimkuta muislam basi mwarabu au mwenzangu na mimi aliyekazana kusoma.

Hata ukienda mikoani hivyo hivyo maeneo mabaya ndiyo tumejaa sisi, tusome jamani na kufanya kazi kwa bidii tuache kutumika na hawa masheikh darasa la pili sasa hivi hakuna ujanja ujanja kwenye maisha sijui ntaenda Bagamoyo kwa mganga nitoke kimaisha hiyo hakuna sasa hivi akili kwenye kichwa tu.
 
Mpaka sasa chama cha mapinduzi kinaongoza kwa kuwa na wafuazi wengi wa
kukipigia kura. vyama vingine vinafuata kuwa na wafuasi wa vyama vingine

Je nje ya igunga Mtazamo wa wapiga kura ukoje?
Kama ungekuwa mwana Igunga kura yako ungempa nani?1. Leopold Mahona (CUF)
2.Joseph Kashindye (CHADEMA)
3. Peter Kafumu (CCM)
4. Said Makeni (DP)
5.Lazaro Ndageya (UMD)
6. John Maguma (SAU)

mkuu jeykey umebadili jinsi ya mienendo yako ya ukombozi watz kwa mara ya pili..

leo naona umetoka kikura zaidi..
 
Mpaka sasa chama cha mapinduzi kinaongoza kwa kuwa na wafuazi wengi wa
kukipigia kura. vyama vingine vinafuata kuwa na wafuasi wa vyama vingine

Je nje ya igunga Mtazamo wa wapiga kura ukoje?
Kama ungekuwa mwana Igunga kura yako ungempa nani?1. Leopold Mahona (CUF)
2.Joseph Kashindye (CHADEMA)
3. Peter Kafumu (CCM)
4. Said Makeni (DP)
5.Lazaro Ndageya (UMD)
6. John Maguma (SAU)

mmejimaliza kwa maoni haya
 
Upo uwezekana mkubwa wa CCM na CUF kugawana kura katika uchaguzi wa Igunga, hasa baada ya CCM na CUF kutumia kete ya udini dhidi ya CHADEMA na sura ya urafiki kati ya CCM na CUF inayotafsiriwana wananchi waliowengi.

Pili CCM na CUF wanaonekana kuwa na uelewano zaidi kuliko CHADEMA na CUF wote wanaungwa mkono na Wazee wengi na vijana wachache pamoja na BAKWATA , tofauti na CHADEMA inaungwa mkono na vijana wengi wenye nguvu na wazee wachache. Kwa mtazamo huo wale wanaoipenda CCM wanaweza kuipigia CUF kama wameichoka CCM na wale wanaoipenda CUF ni rahisi kuipigia CCM kuliko CHADEMA.

CHADEMA itapigiwa kura CHADEMA tuu na watu wengi wanaotaka mabadiliko na kuvutiwa na sera zake. Hivyo CUF itagawana kura za CCM sio za CHADEMA kwa kuwa wanamirengo tofauti.
 
Upo uwezekana mkubwa wa CCM na CUF kugawana kura katika uchaguzi wa Igunga, hasa baada ya CCM na CUF kutumia kete ya udini dhidi ya CHADEMA na sura ya urafiki kati ya CCM na CUF inayotafsiriwana wananchi waliowengi. Pili CCM na CUF wanaonekana kuwa na uelewano zaidi kuliko CHADEMA na CUF wote wanaungwa mkono na Wazee wengi na vijana wachache pamoja na BAKWATA , tofauti na CHADEMA inaungwa mkono na vijana wengi wenye nguvu na wazee wachache. Kwa mtazamo huo wale wanaoipenda CCM wanaweza kuipigia CUF kama wameichoka CCM na wale wanaoipenda CUF ni rahisi kuipigia CCM kuliko CHADEMA. CHADEMA itapigiwa kura CHADEMA tuu na watu wengi wanaotaka mabadiliko na kuvutiwa na sera zake. Hivyo CUF itagawana kura za CCM sio za CHADEMA kwa kuwa wanamirengo tofauti.
Well said, kosa walilolifanya CCM ni kutumia udini (uislam) ambao CUF nao wanawinda kura za waislam hao hao.

Tuliona BAKWATA walivyowataka waislam wasiipigie kura Chadema ina maana wawapigie CCM au CUF haihitaji degree kulijua hilo.
 
Sidhani na tathimini yako is wrong. CCM wao huwa hawagawani kura ila CUF na CDM tu. Kete ya udini sio wote. Watanganyika nao wajanja siku hizi. Fuatilia mkutano wa wa kwanza wa Mh.Zito pale Igunga ndo utoe hayo unayosema.
 
Upo uwezekana mkubwa wa CCM na CUF kugawana kura katika uchaguzi wa Igunga, hasa baada ya CCM na CUF kutumia kete ya udini dhidi ya CHADEMA na sura ya urafiki kati ya CCM na CUF inayotafsiriwana wananchi waliowengi. Pili CCM na CUF wanaonekana kuwa na uelewano zaidi kuliko CHADEMA na CUF wote wanaungwa mkono na Wazee wengi na vijana wachache pamoja na BAKWATA , tofauti na CHADEMA inaungwa mkono na vijana wengi wenye nguvu na wazee wachache. Kwa mtazamo huo wale wanaoipenda CCM wanaweza kuipigia CUF kama wameichoka CCM na wale wanaoipenda CUF ni rahisi kuipigia CCM kuliko CHADEMA. CHADEMA itapigiwa kura CHADEMA tuu na watu wengi wanaotaka mabadiliko na kuvutiwa na sera zake. Hivyo CUF itagawana kura za CCM sio za CHADEMA kwa kuwa wanamirengo tofauti.

Hizi ni dalili za kushindwa kwa Chadema. sasa wanaanza kutengeneza visingizia vya kushindwa kwao uchaguzi wa Igunga.

Wa Chadema msiwe waoga na kuanza kutengeneza sababu za kushindwa. pambaneni mpaka damu ya mwisho.
 
Tuombe Mungu Mwita25, Rejao, Malaria Sugu and the like wasiione hii thread.
 
Hizi ni dalili za kushindwa kwa Chadema. sasa wanaanza kutengeneza visingizia vya kushindwa kwao uchaguzi wa Igunga.

Wa Chadema msiwe waoga na kuanza kutengeneza sababu za kushindwa. pambaneni mpaka damu ya mwisho.
Mkuu
Kumbe na wewe ni mwanamageuzi eeh?
Safi bana...tubadilikeni!
 
kwa kawaida ukipenda kitu umekipenda hata hawa wanao hamasisha udini watashindwa kwa kuwa kitendo cha huyu mama kufanya mikakati ya ushindi wa CCM unafahamika, hivyo wenye moyo wa mageuzi watakipigia chadema tu.
 
Upo uwezekana mkubwa wa CCM na CUF kugawana kura katika uchaguzi wa Igunga, hasa baada ya CCM na CUF kutumia kete ya udini dhidi ya CHADEMA na sura ya urafiki kati ya CCM na CUF inayotafsiriwana wananchi waliowengi. Pili CCM na CUF wanaonekana kuwa na uelewano zaidi kuliko CHADEMA na CUF wote wanaungwa mkono na Wazee wengi na vijana wachache pamoja na BAKWATA , tofauti na CHADEMA inaungwa mkono na vijana wengi wenye nguvu na wazee wachache. Kwa mtazamo huo wale wanaoipenda CCM wanaweza kuipigia CUF kama wameichoka CCM na wale wanaoipenda CUF ni rahisi kuipigia CCM kuliko CHADEMA. CHADEMA itapigiwa kura CHADEMA tuu na watu wengi wanaotaka mabadiliko na kuvutiwa na sera zake. Hivyo CUF itagawana kura za CCM sio za CHADEMA kwa kuwa wanamirengo tofauti.
Kuna sense kwenye huu utafiti mdogo!
Turufu wanazotumia CUF na CCM kwa asilimia kubwa zinashabihiana, maana zinawahusu watu mbumbumbu wasiopambanua kabisa ukweli wa maisha ya Mtz!
 
Tuombe Mungu Mwita25, Rejao, Malaria Sugu and the like wasiione hii thread..
Na wewe tutolee ujinga kila siku kuwataja mabwana zako hukuridhika na thread uliyowaanzishia, kwanza wewe ni hao hao ID tofauti nani hajui.
 
Hizi ni dalili za kushindwa kwa Chadema. sasa wanaanza kutengeneza visingizia vya kushindwa kwao uchaguzi wa Igunga.

Wa Chadema msiwe waoga na kuanza kutengeneza sababu za kushindwa. pambaneni mpaka damu ya mwisho.
Mbona unaongea kinyumenyume mleta hoja kasema CCM na CUF watagawana kura za waislam na CDM kuibuka kidedea hivyo visingizio vya CDM kushindwa viko wapi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom