Baada ya kurejea kutoka nchini Zambia alikokuwa mwangalizi wa kimataifa wa uchaguzi huo kupitia Jumuiya ya madola leo hii Mbunge wa Ubungo John Mnyika akiambatana na Mwanasheria na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CDM wanategemea kutinga Igunga mapema leo kwa ajili ya kuendeleza harakati za kulinyakua jimbo la Igunga.
Hakuna kulala mpaka kieleweke.
Hakuna kulala mpaka kieleweke.