Igunga: Kashindye wa CHADEMA afunika kijiji cha Matinje

Kiwanga+na+Kasulumbai.JPG


MAANDAMANO YA KUMSIKIKIZA KASHINDYE KWENYE GARI LAKE WAKIWEMO KAMANDA SUSAN
KIWANGA NA KAMANDA KASAMBALYA. HAWA NI WANAKIJIJI WENYEWE NA SIYO WAKULETWA NA
MALORI KUTOKA MBALI.
Hii picha inaeleza mengi zaidi ya kampeni, wanaonekana wazee na vijana wenye matumaini na kitu fulani, angalia mavazi ya huyo mtoto kushoto je wazazi wake wana hali gani. Huwezi amini hali ya watu hawa ndio walikuwa chini ya mbunge anayesadikiwa kuwa na mikataba ya mabilioni? ambaye nchi yote na viongozi wako mfukoni mwake.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Mungu awe pamoja nanyi daima hadi siku ya kupiga kura na mlinde kura zenu wana Igunga
 
Mnanitamanisha kweli kuona hiyo picha ya makamanda wa ukweli walichoka na magamba. Cm yangu haionyeshi picha sijui vp!
 
Kinachofurahisha kwenye picha za chadema ni zile sura za wafuasi aka wasikilizaji wao unawaona wako makini na sura za bashasha ya furaha unaona kuna kitu kimewaingia miyoni mwao hakika wameona Chadema ni mapoozo ya mioyo yao japo husahau mateso ya umaskini ulikithiri kwa muda muda wakitafakari jinsi ya kuingia kwenye mabadiliko
 
Hii picha inaeleza mengi zaidi ya kampeni, wanaonekana wazee na vijana wenye matumaini na kitu fulani, angalia mavazi ya huyo mtoto kushoto je wazazi wake wana hali gani. Huwezi amini hali ya watu hawa ndio walikuwa chini ya mbunge anayesadikiwa kuwa na mikataba ya mabilioni? ambaye nchi yote na viongozi wako mfukoni mwake.

Kweli kutoa ni moyo na siyo utajiri! Imagine huyo alishindwa kweli hata kufungua vitega uchumi vyake huko ili aongeze ajira na kipato cha jimbo?
 
nimwtokwa na machozi ya furaha!!! WALIJARIBU UKABILA WAKASHINDWA!!!!! WALIJARIBU UKANDA WAKASHINDWA!!!! CD YA UDINI IMEINGIA SOKONI NAYO HAINA MAUZO!!!! SASA YA KUVUA HIJABU NAYO IMECHEMSHA!!!!! watu wanataka dawa ya matatizo japo chungu!!!!!!pipoooooooooooozzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!!!!!!!!!!!
 
Naomba muusamehe ujinga wangu!

Hivi hilo jimbo ni Igunga mjini au vijijini; au ni la mjini likichukua na baadhi ya vijiji? Siku zote mimi nafikiri RA alikuwa ni mbunge wa lgunga mjini!

Samahani tena!

Huko vijiji alikuwa hafiki yeye alikuwa anaishia mjini tu,wa vijijini alikuwa amewasahau.
 
Nimefurahishwa na habari hizi.Ila nina maswali kadhaa.Je kuna vijiji vingapi kwenye jimbo hilo?Je kijiji hicho ndicho chenye wapiga kura wengi zaidi?Tusisahau kuwa uchaguzi si wa kijiji bali jimbo.However ni dalili nzuri kama wata build on the momentum.May God help your cause.And may it be realistic in our life times.
 
Kiwanga+na+Kasulumbai.JPG


MAANDAMANO YA KUMSIKIKIZA KASHINDYE KWENYE GARI LAKE WAKIWEMO KAMANDA SUSAN
KIWANGA NA KAMANDA KASAMBALYA. HAWA NI WANAKIJIJI WENYEWE NA SIYO WAKULETWA NA
MALORI KUTOKA MBALI.

Inaonekana imekaa vizuri...... lakini cha muhimu zaidi ni kuhakikisha hawa wote wanafika kwenye ballot box on the D-day!
 
I always say,, watu wa vijijini/mashambani huko wakishafunguka na kukubali mabadiliko basi!!! ccm and their art of fooling some people some time haiwezi kuwa milele
 
Go on go on go..go... makamanda we are behind ya! Kanyaga twendee peoplezzzzzzzzz!
 
kiwanga+na+kasulumbai.jpg


maandamano ya kumsikikiza kashindye kwenye gari lake wakiwemo kamanda susan
kiwanga na kamanda kasambalya. Hawa ni wanakijiji wenyewe na siyo wakuletwa na
malori kutoka mbali.

bora umenipa japo picha ya cdm campaign.
Ninapoishi tv yangu ni tbc tu, ccm wamejimilikisha tbc na kuifanya mali yao. Hivi wafanyakazi wa tbc, cku upinzani wakichukua madaraka wawape adhabu gani kwa kutofuata proffessional ethics, hasa hii ya kupendelea chama tawala?

Siku zenu na nyie wafanyakazi wa tbc zinahesabika. Lazima mtimuliwe kwa kutokubeba maslahi ya umma na kuamua kuifanyia kampeni ccm, hamna tofauti na dc wa igunga
 
magamba wanakusanya watu kwa malory ili kuja kuona tot na masanja tu soi mvuto wa ccm....kama ccm wangekuwa wasafi hawakuwa na haja ya kampeni kwani vitu vya maendeleo vingejiuza
 
Back
Top Bottom