IGP Said Mwema APATA AJALI MOROGORO

Mkuu, kwanini unahusisha uendeshaji mbaya wa gari na Nguvu za Mungu?
mkuu, ajali inapotokea inakuwa imesababishwa na ubovu wa barabara,gari, kutowekwa alama za barabarani za muda au za kudumu,uzembe wa mmoja wa madereva au wote au uzembe wa dereva.sasa ajali ya IGP sijajua imesababishwa na nini? kwangu mimi nimeweka huo ujumbe kama binadamu nikiamini kazi ya MUNGU imetendeka kuwaokoa viumbe wake, kutoka kwenye moja ya vyanzo vya ajali. maana sifurahishwi na kuombeana vifo kwa usiyempenda ndo maana nimemtaja MUNGU ambaye hutimiliza kazi yake pasi na shaka.
 
Mbona kuchukiwa hv jamani?
Hivi kuna mjeshi yeyote anayependwa na raia hapa duniani?
Mkuu PakaJimmy huyu shetani anapendwa duniani Pote angalia picha yake.

220px-George-W-Bush.jpeg
 
Last edited by a moderator:
Nani kamuokoa fisaddi huyu. Ni bora angeungana na mwangosi maake hawakuona huruma kumuua mwandishi huyu wa habari.
 
Mkuu,unafurahia kifo cha mwenye dhambi,hautaki hatubu ili awe safi kama wewe?.
 
Unjua tatizo nkwamba hawa viongozi wanaamini wako sahihi! mf IGP HATA HAELEWI SOMO
 
Du! Ingekuwa kweli ningesherehekea kuondoka kwa fisadi mwingine mzito. God help us to get rid of these vampiric creatures who suck our bloody. Mimi nachukia mafisadi kuliko hata shetani mwenyewe. Maana shetani hushawishi lakini halamishi wala kutesa kama hawa.

Wewe unaelekea wapi?

Nyinyi ndio wale msiojuwa kuwa mnatembea na umauti, kwa kuwa unaishi unafikiri ndio wewe hufi wanaokufa wengine tu?
 
Kila mtu anatembea na umauti ila inapotokea yule anayetaka kukuwahishia umauti ukamuwahi lazima usherehekee au kama kuna namna yoyote umauti unakaribia kumuwahi kabla ya kukuwahi lazima uombe hili lifanyike haraka.
Wewe unaelekea wapi?

Nyinyi ndio wale msiojuwa kuwa mnatembea na umauti, kwa kuwa unaishi unafikiri ndio wewe hufi wanaokufa wengine tu?
 
AJABU! Kama aliweza kutabiri kuwa maandamano yatakuwa na ghasia, alishindwa kutabiri ajali yake? Kumbe...........
 
Mwema(4)(1).jpg

Mkuu wa jeshi la polisi Igp Said Mwema amenusurika kifo baada ya gari lake alilokuwa akisafiria kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mkoani Dodoma, kupata ajali eneo la Mkundi ndani ya Manispaa ya Morogoro jana majira ya saa 12 jioni, hata hivyo katika tukio hilo hakuna aliyeumia na walibadilisha gari na kuendelea na safari, kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia blog hii JUMA MTANDA

Hii kama ya Lowassa, wanajichuli na watapata hicho wanachokiombea! Ajali gani hakuna hata aliechubuka!
 
mkuu, kila mtu anayoimani yake, MUNGU wangu hashindwi kitu. kila kazi hufanya kwa dhumuni lake.
hashindwi kitu, kwa hiyo wanaokufa barabarani anaweza kuwaokoa lakini anawachunia, Mungu gani hana huruma, sasa u-Mungu wake ni nini?
 
Du! Ingekuwa kweli ningesherehekea kuondoka kwa fisadi mwingine mzito. God help us to get rid of these vampiric creatures who suck our bloody. Mimi nachukia mafisadi kuliko hata shetani mwenyewe. Maana shetani hushawishi lakini halamishi wala kutesa kama hawa.

Duuuhh....
 
hashindwi kitu, kwa hiyo wanaokufa barabarani anaweza kuwaokoa lakini anawachunia, Mungu gani hana huruma, sasa u-Mungu wake ni nini?
kila kazi ya MUNGU INADHUMUNI LAKE. BWANA AMETOA ,BWANA AMETWAA. JINA LA MUNGU LIHIMIDIWE
 
Back
Top Bottom