Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IGP Said Mwema APATA AJALI MOROGORO

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MaxShimba, Jan 30, 2013.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2013
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 36,640
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 48
  [​IMG]
  Mkuu wa jeshi la polisi Igp Said Mwema amenusurika kifo baada ya gari lake alilokuwa akisafiria kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mkoani Dodoma, kupata ajali eneo la Mkundi ndani ya Manispaa ya Morogoro jana majira ya saa 12 jioni, hata hivyo katika tukio hilo hakuna aliyeumia na walibadilisha gari na kuendelea na safari.
   
 2. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2013
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,102
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Du! Ingekuwa kweli ningesherehekea kuondoka kwa fisadi mwingine mzito. God help us to get rid of these vampiric creatures who suck our bloody. Mimi nachukia mafisadi kuliko hata shetani mwenyewe. Maana shetani hushawishi lakini halamishi wala kutesa kama hawa.
   
 3. s

  scart Senior Member

  #3
  Jan 30, 2013
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 8
  taratibu mkuu
   
 4. Tony Gwanco

  Tony Gwanco JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2013
  Joined: Jan 22, 2013
  Messages: 5,939
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  morogoro kuna nn.mara lowassa .mara soine na sasa mwema. angekufa watu wange fanya sherehe hasa makao makuu ya polisi
   
 5. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2013
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,271
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 38
  mungu bado anamlinda mh.mwema.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2013
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,270
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 48
  Mbona kuchukiwa hv jamani?
  Hivi kuna mjeshi yeyote anayependwa na raia hapa duniani?
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2013
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,926
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 48
  Mmmmmh!


  Nimepita tu!
   
 8. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2013
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,715
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 48
  Oooh shit!.!!!... Kwa nini amenusurika?
   
 9. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2013
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,164
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Siku hizi kupata Ajali nayo fashen kama ile ya Ndugu Lowassa
   
 10. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2013
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,347
  Likes Received: 127
  Trophy Points: 63
  yule aliyepiga picha na lema ni kipenzi
  cha wengi sana!
   
 11. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2013
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 8,336
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 113
  Hapa hakuna kitu chenye ncha kali, hopeless!!!!!!!!!!!!!
   
 12. Puppy

  Puppy JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2013
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,715
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 38
  Nilijua kama sio Apollo ni mizinga 21 itapigwa.

  Waaaaiii nilijua another Fisadi (public enermy) down.

  Pole kamanda, next time mfuate sheria za usalama barabarani na sio kuzitumia kama kitega uchumi.
   
 13. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2013
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 36,640
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 48
  Thanks. That is what they have to do.
   
 14. masopakyindi

  masopakyindi JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2013
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 11,692
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 83
  Lala mapema na uone ziraili anavyokumeze mate, sali sana usiteuliwe usiku huu.
   
 15. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2013
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 6,020
  Likes Received: 683
  Trophy Points: 113
  ....Na IGP anavyopenda magari mazuri na mbio..kazi ipo pole sana kamanda mkuu!!Mungu awe nawe na akulinde!udhaifu wako ni sababu kumlea shemeji sio kosa lako hata wewe huna la kufanya maana nae alikubeba hadi hapo ulipo!!pole sana!!
   
 16. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2013
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 36,640
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 48
  Mmmmh, I thought they have professional drivers, !!!! Bongo Man live up....
   
 17. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2013
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 12,216
  Likes Received: 2,381
  Trophy Points: 113
  why?! Jamani
   
 18. l

  lufungulo k JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2013
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 643
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Nguvu za MUNGU zimemuokoa kiumbe wake, shetani anatapatapa waliowake wanasaga meno na kulia kwa dua mbaya.
   
 19. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2013
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 36,640
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 48
  Mkuu, kwanini unahusisha uendeshaji mbaya wa gari na Nguvu za Mungu?
   
 20. r

  rsvp JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2013
  Joined: Dec 13, 2012
  Messages: 319
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 28
  inatafutwa damu ya kiongozi wa ngazi za juu.
   

Share This Page