Igp mwema tamko lako linamuhusu nani?

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Igp MWEMA kada wa chama cha mapinduzi,tamko lako linamuhusu Nani JKT AU CHADEMA.
Kikundi ambacho ungekipga mkwara huo Ni Police wako ndo wavunjifu wa Amani Hapa TZ.

Pamoja na CCM kuwatumia kufanikisha malengo yao.
Kajipange uje vizuri kama unaweza
 
Mbwa mwema
 
Huyu jamaa si wale wale tu magamba wa ccm! Nakwambia anampigia hodi ocampo mwenyewe bila kujua. Kita eleweka tu muda si mrefu .freeeeeedom is coming 2moro.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom