IGP Mwema na kiingereza

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
igp ni kiongozi wa polisi,ni mtu muhimu sana katika idara ya usalama, kila anapotoa hotuba lazima ingilishi sana,mweshimiwa wananchi wengi wanaokutegema hawajui ingilishi,hivi ni lazima kunchanganya ingilishi na swahili????????anghhhhhhh
 
Siyo yeye tu.msikilize hata waziri mkuu mh.(mb)Mizengo Peter Pinda.wao wanaona poa.yaani wanaona haina majasho kumbe ina majasho kwa harakati wazifanyazo bakita.kiongozi kuwa mtumwa wa lugha za watu haifai.mia rose...
 
Mkuu hata wewe hii heading yako mbovu. Jirekebishe. Haijulikani capital wala small letter, mparaganyiko tu.
 
Spika Sitta alikua hatumii lugha chotara,akitumia kiswahili ni cha ufasaha bila kuchanganya vilevile inglishi..
 
watu wengine bila kuchanganya lugha huwa hawajisikii kama kweli ni wasomi. Hata hapa nchini kwetu ni watumwa wa lugha nyingine kwa mfano, mtu anapoenda kuomba kazi, kipimo cha kuwa anaweza kufanya kazi ni kuongea kingereza. kama hawezi kuongea kingereza basi awezi fanya kazi. kwa kweli serikali na mashirika binafsi naomba mliangalie sana hili kwa sisi ndugu zenu watanzania
 
ajue wapi english bana anabwabwaja tu...na anavoongea kama ana majipu mdomoni ndo ananitibua mpaka basi
 
Back
Top Bottom